Zee la Kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2023
- 334
- 624
.Lengo la mujibu kupita jeshini ni kupatiwa kitu kinaitwa ukakamavu na uzalendo na si vinginevyo ila wa kujitolea hilo la ajira linakuepo kabisa hata kwenye matangazo yao ya kujiunga na JKT kama ajira zitatolewa na serikali. ELEWA!!
GenelizeAcha kukariri kijana! Nakukumbusha tu na kama ntakosea nielekezwe, katika op iliyoingia 4m 4 na la saba ni Op Samia kama sikosei na ni kwa lengo maalum ila op zingine mpaka masters huko kuanzia mabeyo, makao, mirerani, magufuli na kuendelea sasa wwe unavyosema sijui hawajasoma sijui unamaanisha nini
Unaona uko sahihi au unakosea?Sasa PDF z Arounds people must get it on deir heds[emoji419]
Hakuna ubabaishaji siku hizi, yani kama mtu hana sifa ni kheri aache tuu kupoteza nguvu na pesa bure. Maana wenye sifa wapo wengi tuu na kuna baadhi pamoja na kuwa na vigezo vyote vinavyotakiwa watakosa nafasi japo wengine watapata. Shoo kali sana.Hii nakataa unaweza ukaitwa... Cku ya ukaguzi wa vyeti ukachomolewa
Kuna mwana Lile bogi la afya aliitwa kulipokagua vyeti hakuwa na leseni yaan ilivyo Ili mtaalam afya uwe kamili kufanya kazi hospital unatakiwa uwe na leseni kutoka Baraza lako. Hakuwa nayo akarudishwa
Ronja kali sana mfwende sawadogo [emoji4][emoji4]Nilisema hii juzi...na leo mzigo mumeuona...View attachment 2543254
Wakuu msaadaWakuu hz mambo jinsi ya kutuma online si wameweka na kqma wameweka ni namna gani ya kutuma maombi.......
Kwa huko makambini sjajua kiukweli...ila kwa kitaa tangazo ndo lilitoka janaKwani usaili bado unaendleaj??
Usahili gani tenaKwani usaili bado unaendleaj??
kambini walishafanya usahili wameanza kuripoti jana msataKwa huko makambini sjajua kiukweli...ila kwa kitaa tangazo ndo lilitoka jana
Mkuu vp jinsi ya kutuma online si inawezekanaMwaka huu kuna mabogi mawili Msata na Oljoro
Kwamba chama lililokata tamaa ni oljoro sioMwaka huu kuna mabogi mawili Msata na Oljoro
wa vikosini wanaenda msata pamoja na wazee wa kupiganisha aka baba kantuma
af sasa chama la wana lililolata tamaa wanajua kwa kukutana,rejea op muungano mambo ni yaleyale ya Gn Mwamunyange
Kwa mfano Taaluma gani zipi ukiwa na umri huo unaajiriwa na jeshi.Heeh?? Kwn lazima kila mtu awe Askari Kama hawezi apambane na mishe nyingine maanake hataweza kuwa na sifa zinazohitajika kuwa Askari Jeshi afu Kama una professional potential kwa jeshi unaweza kuajiriwa na jeshi even ukiwa na 35 broh.
mze Jeshi likiwa linaandikisha askari halina cha taaluma ndomana linaitwa sombasomba sifa damu,watu wa taaluma washawachukua tayari na wakiwataka huwa wanatoa vigezo au wanapita vyuoni kama walivofanya kwa mainjinia na madaktari na wale mujibu wa mil.science ambao wapo afisa kadeti sahiziKwa mfano Taaluma gani zipi ukiwa na umri huo unaajiriwa na jeshi.