Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wew Mwanajeshi wa Kambi gan? Em Tufahamiane Tafadhari naona unajiachia tu kujitambulisha ovyo ovyo..wakat juz wew ndo ulini Underrate na kunambia Wanajeshi hatujitambulish kirahisi hivyo baad ya kukwmbia nipo hpa ninty two sanga sanga WTF
Hivi we hata maaana ya kutumia hata hiyo anonymous I'd unajua??
 
Sijafanikiwa kusoma vigezo wanavyotaka. Naomba kujua je ile sifa ya kufeli imewekwa au hawajaiandika
😁 wacha nikae
Hv 4m 4 kuwa na nyota mkuu imekaaje utaratibu wake au kuna mpangilio gani maana naonaga wengi wenye elimu za chini ni vyeo vya chini mkuu

Hv 4m 4 kuwa na nyota mkuu imekaaje utaratibu wake au kuna mpangilio gani maana naonaga wengi wenye elimu za chini ni vyeo vya chini mkuu
Hiyo ya form 4 ni kwamba mi mwnyew zaman nlifaham hawez kupata star ila mwaka juz juz kn nafas zilitoka za watu kwnda kusomea nyota kn best ang mmoja yupo Kikosi cha Anga kizuka As 121 alienda kusomea nyota kwa kuchaguliw na uongoz tena walienda wengi na asahiv ana nyota
 
Form 4 cheo chake akikomaa mpk mwisho ataishia Wo1 hafiki 1 star labda akajiendeleze ndio maana nawaambia nyie vitoto hamjui kitu
Bado hujui kitu sibishani na Askari wa mwaka jana mim...Jibu lako nimekupa hapo Mtu anavyopata nyota lisome Itakusaidia
 
Kn nafasi huwa zinatoka ukiw ndan ya Kambi..jaman Ishini Au Ongeen na watu vizuri...Form Four Anaweza kupata nyota..msijidanganye..sibishan tena hapo
 
Bado hujui kitu sibishani na Askari wa mwaka jana mim...Jibu lako nimekupa hapo Mtu anavyopata nyota lisome Itakusaidia
Huyu atakuwa askari wa India tena She na ana namba ndogo anataka cheo kwa form 4 ataishia W-I Bibi na Bwana asome angalau six apate uafisa siyo NCO
 
Wew Mwanajeshi wa Kambi gan? Em Tufahamiane Tafadhari naona unajiachia tu kujitambulisha ovyo ovyo..wakat juz wew ndo ulini Underrate na kunambia Wanajeshi hatujitambulish kirahisi hivyo baad ya kukwmbia nipo hpa ninty two sanga sanga WTF
Mimi sijajitaja nimemuambia yeye hilo jeshi analosimuliwa sisi tumepita huko tume hustle zaid yake na hio msata anayoiota tushapita yeye sasa ndio anaweweseka mala oohh utaishia coplo sijui private
 
Mimi sijajitaja nimemuambia yeye hilo jeshi analosimuliwa sisi tumepita huko tume hustle zaid yake na hio msata anayoiota tushapita yeye sasa ndio anaweweseka mala oohh utaishia coplo sijui private
Na ndo ambapo nilitak nishangae naingia forum nakuta mmefika mpk habari ya kukashifiana kivyeo Aisee..Mbn ka kulitukana jeshi sasa
 
Dogo apige kitabu tu once employed ataona faida yake asibwete na gwanda kuna kustaafu tena NCO miaka michache tu
 
Jamani kama ni mjadala em tulete mijadala ya kujadilika sio kuanza kutukana vyeo humu mara Coprol mara Bibi na bwana aisee Hiyo mbaya Toa Point km ni ya uongo tunaku crash unakaa pemben..pia ni elimu
 
Jamani kama ni mjadala em tulete mijadala ya kujadilika sio kuanza kutukana vyeo humu mara Coprol mara Bibi na bwana aisee Hiyo mbaya Toa Point km ni ya uongo tunaku crash unakaa pemben..pia ni elimu
Kwani kuna tusi hapo mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…