mudryk
Senior Member
- Jan 21, 2023
- 174
- 224
Hivi we hata maaana ya kutumia hata hiyo anonymous I'd unajua??Wew Mwanajeshi wa Kambi gan? Em Tufahamiane Tafadhari naona unajiachia tu kujitambulisha ovyo ovyo..wakat juz wew ndo ulini Underrate na kunambia Wanajeshi hatujitambulish kirahisi hivyo baad ya kukwmbia nipo hpa ninty two sanga sanga WTF