Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Unateseka kusubiri ajira
unateseka kutuma maombi
unateseka kwenda usahili
unateseka kufanya usahili
unateseka kusubiri PDF[emoji28][emoji28]

hivi huko kazini nako hakuna kuteseka kweli?[emoji28]
 
Unateseka kusubiri ajira
unateseka kutuma maombi
unateseka kwenda usahili
unateseka kufanya usahili
unateseka kusubiri PDF[emoji28][emoji28]

hivi huko kazini nako hakuna kuteseka kweli?[emoji28]
Na unateseka zaidi kuona mfano jina lako hakijatokea[emoji28] na kama likitokea huko depo Napo unateseka kupambania kombe

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kama Wiki hii PDF isipotoka Mpk Next week Basi Msubiri Tarehe 24 mwez wa 4 yaan...24th April..Hii ni kuipisha Ramadan month..Lonja nawapa 96% zikipita hizo week bas tukutane hiyo tarehe...Shika maneno hayo Usipindishe hata nukta..ikiwezekana Wekea Lamination📌🔨 #NeverGiveUp💪
 
[emoji16]
 
Hivi hizi Habari mnazitoaga wap?? [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unakwepa hili swali? Haya kwa mara nyingine niambie ni lini ulifanyika usaili wa mujibu wa sheria kwenda kuwa askari?
 
Unaweza ukashika Au ukapuuzia Lakin Haitobadilisha Ukweli ila Ukiendelea kushikilia unachokiamini wew ndo Utaishia kuumia Mana Watz mnapenda Uongo unao fariji kuliko Ukweli unao umiza...Am out[emoji419][emoji375]
Zee la kazi umezingua[emoji16][emoji16] ulisema week hii. Week hii ndo hii unasema baada ya mwezi wa ramadhani. Jeshi gani hilo
 
Zee la kazi umezingua[emoji16][emoji16] ulisema week hii. Week hii ndo hii unasema baada ya mwezi wa ramadhani. Jeshi gani hilo
Daah Ndugu..Yan kn mtu kanipigia hapa jion ya saa1 katika maongez nkamuuliza vip mbn mpo kimya leo imeisha..sasa na yeye ndo akanipa hiyo ripoti..lakn zijamaanish kwmba ndo hayatok wiki hii ielewe vzr sentens boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…