Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

We mara ya mwisho kutoka jeshini ni lini?

Mujibu wanaingia jeshini hadi na ukimwi na hawazuiliwi na mpaka wanamaliza kozi pia matattoo halafu unasema hakuna utofauti kati ya mujibu na kujitolea wengine hata uvungu wa miguuni hawana halafu unakaza fuvu hapa nenda hata saili za kujitolea utaona kama kuna mtua anaruhusiwa kuingia akiwa hata na tattoo au magonjwa ya kipumbavu.

Mtu anapiga kozi harusiwa hata kukaa chini mwanzo mwisho halafu leo huyo huyo mtu uje umfananishe na wa kujitolea ila we utakuwa una shida mahali sio bure
dah kua na kiasi mkuu..magonjwa ya kipumbavu ni yapi hayo.
 
Ni iko hivyo... Asilimia kubwa wana makasiriko yasiyo na faida... Kwasisi ambao Bado hatujaingia ukimfata akupe ushauri aaaaaaaah umekufa... Especially ukiwa wa mujibu...utaambiwa ulienda jeshi au ulienda seminar...
Hahahah kwa hyo si mjibu tulienda semina daaj
 
Huu Uzi uliuacha Kwanza kuna muda wanitia stress Sana wakuu,kila la kheri nitakuwa nakuja mara Moja humu
 
polisi kama pdf ni hivi maslahi ndo yanakuwaje sasa huko kazini,kama kuweka majina tuu ndo hivi, unaweza kuta hata kozi mkapiga hadi 2025 haiishi[emoji28]
 
polisi kama pdf ni hivi maslahi ndo yanakuwaje sasa huko kazini,kama kuweka majina tuu ndo hivi, unaweza kuta hata kozi mkapiga hadi 2025 haiishi[emoji28]
😄😄 Hiyo inaitwa haiishi mpaka iishe,unapiga kozi mpaka unaamua kuondoka mwenyewe
 
Back
Top Bottom