Mmmmh fafanua vzr hapoMbona kama naona watu wamepangiwa jeshi la polisi na post zimepitia utumishi kwenye hili tangazo
Angaloa hilo tangazo hapo chini
Tangazo lipi mkuu,ebu lileteMbona kama naona watu wamepangiwa jeshi la polisi na post zimepitia utumishi kwenye hili tangazo
Raia hao...!! Na wataanza kazi na kulipwa kama raia!!Kwahiyo hao wanakuwa ni askar au raia wa kawaida tu
Duh kama polisi wanaomba watumish kupitia utumishi mbona balaaaRaia hao...!! Na wataanza kazi na kulipwa kama raia!!
Askari hadi wapitie mafunzo.
Ina maana askari hawakutosheleza.Duh kama polisi wanaomba watumish kupitia utumishi mbona balaaa
Yaani Bado bila bila mpk sasa halafu umri eti mwisho miaka 25 kuajiriwa na hao vijana kuanzia 26-45 sijui twende wapi !!! Vigezo dhaifu sanaWaziri mkuu alitoa ahadi mwaka Jana 2022 kutoka kwa Rais bajeti ya waziri wa maliasili pia alipewa kibali cha kuajiri lakini bado wako kimya mpk sasa
Wanafanya kazi kama Raia. Wapo Raia wengi tu wanaofanya kazi ndani ya jeshi. Jeshi bado halijajitosheleza kuna na watumishi wote wanajeshiMbona kama naona watu wamepangiwa jeshi la polisi na post zimepitia utumishi kwenye hili tangazo
Amen brother 🙏🏽Uzi naupenda sana, japo kuwa haunihusu kwa sehemu kubwa. Hizi passion kwa jeshi ningekuwa nazo ningalikuwa mbali.
Ukitafuta konection usiangalie cheo maana wanao sort majina na ku upload ni hawa wachini konstantebo na Coplo, ukisema utafute officers tu utachelewa.
Kwenye kaz yoyote kigezo ambacho huwa hakipindishwi n cha elimu hivi vingine ni ziada tu. Wapo wanaoingia Jeshi TPDF na usalama wakiwa umri 30+.
Msiwe na shaka HRs wa polisi Bi. Kaganda na Bi Rukia sio watu wa kupindisha. Nawaombe kwa mwenyez Mungu mpate nafasi
Yeah Afande Rukia ni mtu poa sanaUzi naupenda sana, japo kuwa haunihusu kwa sehemu kubwa. Hizi passion kwa jeshi ningekuwa nazo ningalikuwa mbali.
Ukitafuta konection usiangalie cheo maana wanao sort majina na ku upload ni hawa wachini konstantebo na Coplo, ukisema utafute officers tu utachelewa.
Kwenye kaz yoyote kigezo ambacho huwa hakipindishwi n cha elimu hivi vingine ni ziada tu. Wapo wanaoingia Jeshi TPDF na usalama wakiwa umri 30+.
Msiwe na shaka HRs wa polisi Bi. Kaganda na Bi Rukia sio watu wa kupindisha. Nawaombe kwa mwenyez Mungu mpate nafasi
Hakuna service man JWTZHawaelewi maana ya jwtz-jeshi la wananchi wa Tanzania... Yaan unakuwa Kwa ajili ya wananchi then hao hao unawapa mikwala... Ni ujinga tu...
Nikiingia mara kwa mara napata mawazo kiongozi.Mkuu umetutenga sana
Afisa
Hii ni ramli chonganishiKama Wiki hii PDF isipotoka Mpk Next week Basi Msubiri Tarehe 24 mwez wa 4 yaan...24th April..Hii ni kuipisha Ramadan month..Lonja nawapa 96% zikipita hizo week bas tukutane hiyo tarehe...Shika maneno hayo Usipindishe hata nukta..ikiwezekana Wekea Lamination[emoji419][emoji375] #NeverGiveUp[emoji123]
Huu mwaka,ni majangaHii ni ramli chonganishi
Yes kuna wahasibu wengi vituo vya polisi wilayani na mkoani ambao ni raia kabisa wa kawaidaWanafanya kazi kama Raia. Wapo Raia wengi tu wanaofanya kazi ndani ya jeshi. Jeshi bado halijajitosheleza kuna na watumishi wote wanajeshi