Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Waziri mkuu alitoa ahadi mwaka Jana 2022 kutoka kwa Rais bajeti ya waziri wa maliasili pia alipewa kibali cha kuajiri lakini bado wako kimya mpk sasa
Yaani Bado bila bila mpk sasa halafu umri eti mwisho miaka 25 kuajiriwa na hao vijana kuanzia 26-45 sijui twende wapi !!! Vigezo dhaifu sana
 
Uzi naupenda sana, japo kuwa haunihusu kwa sehemu kubwa. Hizi passion kwa jeshi ningekuwa nazo ningalikuwa mbali.

Ukitafuta konection usiangalie cheo maana wanao sort majina na ku upload ni hawa wachini konstantebo na Coplo, ukisema utafute officers tu utachelewa.

Kwenye kaz yoyote kigezo ambacho huwa hakipindishwi n cha elimu hivi vingine ni ziada tu. Wapo wanaoingia Jeshi TPDF na usalama wakiwa umri 30+.

Msiwe na shaka HRs wa polisi Bi. Kaganda na Bi Rukia sio watu wa kupindisha. Nawaombe kwa mwenyez Mungu mpate nafasi
 
Amen brother 🙏🏽
 
Ninyi mbwa mmekazana kubishana na kuparuana humu as if hizo nafasi mtapata , hilo jeshi la baba yenu ? , Nafasi zishauzwa hizo ,nyie jifarijini na makaratasi yenu hayo ya mgambo wa JKT , subirini ndoige mamaee
 
Uzi naupenda sana, japo kuwa haunihusu kwa sehemu kubwa. Hizi passion kwa jeshi ningekuwa nazo ningalikuwa mbali.

Ukitafuta konection usiangalie cheo maana wanao sort majina na ku upload ni hawa wachini konstantebo na Coplo, ukisema utafute officers tu utachelewa.

Kwenye kaz yoyote kigezo ambacho huwa hakipindishwi n cha elimu hivi vingine ni ziada tu. Wapo wanaoingia Jeshi TPDF na usalama wakiwa umri 30+.

Msiwe na shaka HRs wa polisi Bi. Kaganda na Bi Rukia sio watu wa kupindisha. Nawaombe kwa mwenyez Mungu mpate nafasi
Yeah Afande Rukia ni mtu poa sana
 
Kama Wiki hii PDF isipotoka Mpk Next week Basi Msubiri Tarehe 24 mwez wa 4 yaan...24th April..Hii ni kuipisha Ramadan month..Lonja nawapa 96% zikipita hizo week bas tukutane hiyo tarehe...Shika maneno hayo Usipindishe hata nukta..ikiwezekana Wekea Lamination[emoji419][emoji375] #NeverGiveUp[emoji123]
Hii ni ramli chonganishi
 
Wanafanya kazi kama Raia. Wapo Raia wengi tu wanaofanya kazi ndani ya jeshi. Jeshi bado halijajitosheleza kuna na watumishi wote wanajeshi
Yes kuna wahasibu wengi vituo vya polisi wilayani na mkoani ambao ni raia kabisa wa kawaida
 
Back
Top Bottom