methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Kwa wale wa MT nini kinaendelea maana nimesikia kesho kiwira wanamwaga mzigo.......
Kupoteza mudaKwa hizi nafac za JWTZ kama hujaenda jkt unaweza jaribu kutuma maombi au ni kupoteza muda wataalamu
[emoji3][emoji3]Ninyi mbwa mmekazana kubishana na kuparuana humu as if hizo nafasi mtapata , hilo jeshi la baba yenu ? , Nafasi zishauzwa hizo ,nyie jifarijini na makaratasi yenu hayo ya mgambo wa JKT , subirini ndoige mamaee
Ninyi mbwa mmekazana kubishana na kuparuana humu as if hizo nafasi mtapata , hilo jeshi la baba yenu ? , Nafasi zishauzwa hizo ,nyie jifarijini na makaratasi yenu hayo ya mgambo wa JKT , subirini ndoige mamaee
kama una mbanga we tuma....hakuna kinachoshíndikana mbele ya powerKwa hizi nafac za JWTZ kama hujaenda jkt unaweza jaribu kutuma maombi au ni kupoteza muda wataalamu
Maza Yuko posta day one alipata maombi elf kumi ..... daily Bahasha nyingi anapokeaDaaah watu ni wengi sana aiseee barua jinsi zinavyorundikana....sjui kule makao wanaenda kusomaje, , , , oy wakubwa naposema watu ni wengi ni wengi aseee
Yaaani siku ya kwanza alipokea barua elfu 10 duuhMaza Yuko posta day one alipata maombi elf kumi ..... daily Bahasha nyingi anapokea
Shida mkuuu anasema maombi mengi huko Dom watu Wana pishana kwenye daladalaYaaani siku ya kwanza alipokea barua elfu 10 duuh
Siku hizi kujitolea miezi 4Kujitolea ndio wenye jeshi mujibu Ni wapita njia tu nd maana mnapigishwa seminar ya miez mitatu af wa kujitolea sio wote 4m 4 dg degree wapo kibao
Jkt haiajiri kila siku mnaambiwa na viongozi hata kwenye matangazo yao ya recruitment .Lengo la mujibu kupita jeshini ni kupatiwa kitu kinaitwa ukakamavu na uzalendo na si vinginevyo ila wa kujitolea hilo la ajira linakuepo kabisa hata kwenye matangazo yao ya kujiunga na JKT kama ajira zitatolewa na serikali. ELEWA!!
Ni kweli tangazo haliwahusu mujibu waache waombe wapoteze mda wao hamna kitu watapataMnabishana ishu za ajabu wakati Tangazo limesema wazi uwe umepita Jkt kwa miaka miwili ukarudishwa home au upo jkt kwa miaka miwili,sasa mujibu mnaingia wap hapo na miezi yenu 3
Tunzeni akiba ya maneno na hamuwezi Amini mujibu wengi tu mtawakuta kambini we mpaka ma afisa wanawaambia mujibu waombe hizo nafasi wewe nani unasema mujibu wanapiteza muda jeshi libavyoendeshwa sio kama mnavyofikiria sifa wepesi ukiwa mzembe hata uwe na vigezo vingapi utaachwa......endeleeni kujipa matumaini mujibu hawatangia kwenye hizi nafasi ndio mtaona maajabu ya musa mbeleni....YAJAYO YANAFURAHISHANi kweli tangazo haliwahusu mujibu waache waombe wapoteze mda wao hamna kitu watapata
pale makao wanakagua barua kama ni mujibu wanakurudisha wanakuambia katume online,Ni kweli tangazo haliwahusu mujibu waache waombe wapoteze mda wao hamna kitu watapata
Vigezo vinasema ni wale wa miaka miwili mbona tangazo lipo specific kabisa wangesema jkt tu hapo sawa mujibu unapata .Tunzeni akiba ya maneno na hamuwezi Amini mujibu wengi tu mtawakuta kambini we mpaka ma afisa wanawaambia mujibu waombe hizo nafasi wewe nani unasema mujibu wanapiteza muda jeshi libavyoendeshwa sio kama mnavyofikiria sifa wepesi ukiwa mzembe hata uwe na vigezo vingapi utaachwa......endeleeni kujipa matumaini mujibu hawatangia kwenye hizi nafasi ndio mtaona maajabu ya musa mbeleni....YAJAYO YANAFURAHISHA