Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

HhHhahaa jamaa kaongea kwa hasira kunani mkuu
Ninyi mbwa mmekazana kubishana na kuparuana humu as if hizo nafasi mtapata , hilo jeshi la baba yenu ? , Nafasi zishauzwa hizo ,nyie jifarijini na makaratasi yenu hayo ya mgambo wa JKT , subirini ndoige mamaee
 
Daaah watu ni wengi sana aiseee barua jinsi zinavyorundikana....sjui kule makao wanaenda kusomaje, , , , oy wakubwa naposema watu ni wengi ni wengi aseee
Maza Yuko posta day one alipata maombi elf kumi ..... daily Bahasha nyingi anapokea
 
Mimi kwa upande wangu,naona kutuma Maombi kwa barua ni uongo Sana Bora mtu atumie email km wameweka inapunguza usumbufu kwa anae chambua,Ila nawapa hongera PT,Yani siku ya kwanza unatuma wanaanza kuchambua km umekidhi kigezo unawekwa
 
Lengo la mujibu kupita jeshini ni kupatiwa kitu kinaitwa ukakamavu na uzalendo na si vinginevyo ila wa kujitolea hilo la ajira linakuepo kabisa hata kwenye matangazo yao ya kujiunga na JKT kama ajira zitatolewa na serikali. ELEWA!!
Jkt haiajiri kila siku mnaambiwa na viongozi hata kwenye matangazo yao ya recruitment .

Jkt haitoi ajira ukienda kule ujue kuna kupata na kukosa ujiandae kwa hilo
 
Mnabishana ishu za ajabu wakati Tangazo limesema wazi uwe umepita Jkt kwa miaka miwili ukarudishwa home au upo jkt kwa miaka miwili,sasa mujibu mnaingia wap hapo na miezi yenu 3
Ni kweli tangazo haliwahusu mujibu waache waombe wapoteze mda wao hamna kitu watapata
 
Ni kweli tangazo haliwahusu mujibu waache waombe wapoteze mda wao hamna kitu watapata
Tunzeni akiba ya maneno na hamuwezi Amini mujibu wengi tu mtawakuta kambini we mpaka ma afisa wanawaambia mujibu waombe hizo nafasi wewe nani unasema mujibu wanapiteza muda jeshi libavyoendeshwa sio kama mnavyofikiria sifa wepesi ukiwa mzembe hata uwe na vigezo vingapi utaachwa......endeleeni kujipa matumaini mujibu hawatangia kwenye hizi nafasi ndio mtaona maajabu ya musa mbeleni....YAJAYO YANAFURAHISHA
 
Vigezo vinasema ni wale wa miaka miwili mbona tangazo lipo specific kabisa wangesema jkt tu hapo sawa mujibu unapata .

ni afsa gani huyo anapingana na vigezo

Yaani hapo automatically kigezo kinakutoa mujibu hata hao baba kantuma utawakuta kwenye majeshi wana vigezo pia

Hakuna shortcut sahivi
 
Back
Top Bottom