Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

wakuu ..hivi unaweza piga kozi PT ukiwa na swaumu .Ama vipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni secular state yaani ni nchi isiyofungamana na dini yoyote au haina dini na hvyo vyombo vya ulinzi ni kama serikali vile kwahyo ukienda kozi sahau kabisa samaleko, kule ata wadada nahisi menstruation hawaipati
 
😂😂😂Hii kali .
 
Serikali haina dini ila inaheshimu dini za watu. Kipindi cha mafunzo , watu wote kwa dini zao wanaruhusiwa kwenda ibada, wakristo makanisani siku ya jumapili, wasabato jmosi na hata waislamu siku ya ijumaa kwa ajili ya swala. Waislamu wanaofunga hawakatazwi kufunga na utaratibu wa kupata ftari upo. Watakaoenda course hii wana bahati mfungo umewakuta wakat course rasmi ikiwa haijaanza maana kariba mwezi mzima huu wa kwanza utakuw ni wa usajili, kashkash hazitakuwa nyingi...kina dystonia mfungo uliwakuta wako porini...ambako ndio kwenye upolisi wenyewe, u can imagine na ugumu huo ila watu walikuw wanafunga na kuendelea na mfungo. Kumuomba Mola wako ni muhimu kwani lolote laweza tokea kwenye course.
 
Hii ishu kwa TPDF sidhani kama ipo
 
Hii ishu kwa TPDF sidhani kama ipo
 
Kaka ilikuw sio poa...ila vijana walifunga na wakatoboa. Ila kati ya vitu nilivyojifunza course, wazanzbar ni watu wenye misimamo sana, kumyumbisha sio rahisi kabisa. Nawaheshimu sana.
 
Hii ishu kwa TPDF sidhani kama ipo
Haipo. Ndio tofauti ya hivi vyombo viwili. Ndani ya chuo kuna makanisa mule ndani, kuna msikiti pia. Wakufunzi na familia zao wanasali. Ni jumuiya, hivyo hata makuruta wanaruhusiwa kwa siku zao za ibada angalau saa 1 au mawili kumkumbuka Mungu then mnarudi kuendelea na kazi za watu.
 
Nakumbuka nilivyokuwa jkt mfungo ulitukutia.... Aise kipande nilichokuwa naikubali ni ule mda wa kuchukuliwa wadau wa kwenda kula daku... To be honest kuruti ni mdudu hashibi ilo bogi nilikuwa na join... Ila walokuwa wanafunga walikuwa wanapata wakati mgumu sana maana hakuna favour juu yao Kila mtu anapiga jalamba equally
 
Ndio maana unaambiwa ukiona kazi kufunga , uache haulazimishwi kabisa. Ila vijana mfungo unawakuta wakati mzuri course ikiwa haijachanganya bado
 
Nilitaka kumaanisha kwenye Jeshi mama yaani Tpdf ambako ndo kazikazi
 
Yeah na mimi nilitaka kumaanisha kwa TPDF maana nakumbuka ata kozi ndogo tu ya mujibu wa sheria kusali utakusikia kwenye bomba sasa iyo yenyewe yenyewe ya Kihangaiko itakuwaje!
 
Vijana mnaenda CCP kujiunga na mafunzo., sio lazima uutaarifu mtaa mzima au ukoo mzima kama umepata nafasi ya kwenda mafunzo. Wengine unawaambia wana roho mbaya na hawataki ufanikiwe. Unajikuta unaenda mafunzoni, mambo yanakuw magumu. Wewe nenda kimyakimya, wakijua wazaz wako tu na ndugu wachache inatosha. Kuna watu wana wivu, waafrika tuna mambo mengi.😂Nendeni mkapige course , ukigraduate na kuingia chomboni rasmi basi watajua. Kuna watu tumepiga nao course wazaz wao walikuw wanajua vijana wapo wanajitolea jkt kumbe wanachukua upolisi. Walipotoka ndio wakarudi na uniform. Sio kila mtu anatakiwa kujua ur whereabouts...otherwise let them see ur achievements at the end. All the best vijana wa Mungu.
 
Wakuu kama kuna mtu anaweza nisaidia kuingia chomboni kupitia reserve naomba tuwasiliane atapata chochote kitu kama shukrani yangu naomba kuwasilisha
 
I appreciate that!
 
Mademu wa kitaa wawasqhau kamanda...labda kama wameoa ila ukiacha demu kitaa mwaka mzima...huyo usijifariji kuwa utamkuta ni wako tena...😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…