Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Mi sijui ila ukweli ndo huoSema hii ni kwa PT kwa JW huwezi kuingia katikati ya kozi boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sijui ila ukweli ndo huoSema hii ni kwa PT kwa JW huwezi kuingia katikati ya kozi boss
Niliona JKT jamaa kaja katikati ya kozi makamanda wakamtimua na mizigo kabla hata hajafika getini muda huo tupo mabio jion nje ya kambi.Sema hii ni kwa PT kwa JW huwezi kuingia katikati ya kozi boss
Pindi nilipokua JKT mujib kuna wadau walikua wanaingia katikati ya six week na wanapokelewa , sema kwa RTS hii haikubalikiNiliona JKT jamaa kaja katikati ya kozi makamanda wakamtimua na mizigo kabla hata hajafika getini muda huo tupo mabio jion nje ya kambi.
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Me nilishuhudia kwa macho yangu wanatimuliwaPindi nilipokua JKT mujib kuna wadau walikua wanaingia katikati ya six week na wanapokelewa , sema kwa RTS hii haikubaliki
Pambania kombe
JW ni ngumu kuingia katikat ya course. Ikifunguliwa kama haumo ni usubiri tu intake itakayofataMi sijui ila ukweli ndo huo
We hupataki huko au ushakula kitengo?Pambania kombe
Si kweli watu huwa bado wanaingia even after one month kozi kuanzaJW ni ngumu kuingia katikat ya course. Ikifunguliwa kama haumo ni usubiri tu intake itakayofata
Hamna mkate mgumu mbele ya chai , pesa ni chai ,achana na faranga , jw hawa corrupt mabingwa wa rushwa ?JW ni ngumu kuingia katikat ya course. Ikifunguliwa kama haumo ni usubiri tu intake itakayofata
Hamna mkate mgumu mbele ya chai , pesa ni chai ,achana na faranga , jw hawa corrupt mabingwa wa rushwa ?
Tutafute mibuyu kaka hakuna namnaSipataki ??
Haupo sirias chief
nina ka m1 kangu hapa nimetafuta mtu na nimekosa
Kabisa, mengine yote yanawezekana.Hapa duniani kitu kigumu ni kumrudishia mfu uhaii
Hawajui hao waache tu.Hamna mkate mgumu mbele ya chai , pesa ni chai ,achana na faranga , jw hawa corrupt mabingwa wa rushwa ?
Hiyo pesa kubwa sana mkuu,, tuliza kichwa tu tafuta mbuyu taratibu ,, nasikia kozu inaanza mwezi wa tano(5).nina ka m1 kangu hapa nimetafuta mtu na nimekosa
Utapunwa na hutopatanina ka m1 kangu hapa nimetafuta mtu na nimekosa
Utapunwa na hutopata