Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Hivi kozi ya Msata wanapiga muda gani?Tafuteni connection yenye nguvu....September jwtz wanarudi...
we mbona upenyezwi chomboni na jamaa wako wa ikuruNawakumbusha tu sehemu pekee ambayo jamaa wa ikuru alishindwa kupenyeza mtu ni PCCB
Magereza alipenyeza
Zimamoto alikapenyeza kabwana Anko
Polisi alipenyeza wawili
Jwtz done
Connection chomboni..li ila sio kwa pesa ukitoa pesa UTAPUNWA Tu
Acha basi ni serious hyo?Wakuu nasikia reserve washaanza kuingia CCP jamani kama huna mbanga [emoji23][emoji119]
Kwa Kaunda suti alipenyeza? Au ndio wew unasubiri tu?Nawakumbusha tu sehemu pekee ambayo jamaa wa ikuru alishindwa kupenyeza mtu ni PCCB
Magereza alipenyeza
Zimamoto alikapenyeza kabwana Anko
Polisi alipenyeza wawili
Jwtz done
Connection zipo kweli ila sio kwa pesa ukitoa pesa UTAPUNWA Tu
Mm nimesikia mwezi July wanarudi tenaTafuteni connection yenye nguvu....September jwtz wanarudi...
Mzee tuacheni kutishana kama hatuna habari za uhakikaWakuu nasikia reserve washaanza kuingia CCP jamani kama huna mbanga [emoji23][emoji119]
Ronja zishushweWakuu Hakuna Lonja zingine
Mzee tuacheni kutishana kama hatuna habari za uhakika
Reserve ile wanaoingia wengi huwa wanasubiri maelekezo yaliyotumwa na makao makuu ili kuongeza askari wengineKaka we tafuta mbanga ya uhakika uone kama mm nakudanganya, uone utakavyopaa na kutuacha muda huu huu
Kaunda suti kule mbugi ni nzito lzm uwe na angalau 75% yasifa kwanzaKwa Kaunda suti alipenyeza? Au ndio wew unasubiri tu?
Mm ni mtumishi toka 2020 ila sio wa vyombo vya ulinziwe mbona upenyezwi chomboni na jamaa wako wa ikuru
we mbona upenyezwi chomboni na jamaa wako wa ikuru
Kaka sio ww uliesema uingizwe chomboni ili umkamate jamaa alieiba tv yenu zamani?Mm ni mtumishi toka 2020 ila sio wa vyombo vya ulinzi
Amepokelewa kama alivyokuja 😅Sema sms yako imejaa uchokozi [emoji23]
Reserve ile wanaoingia wengi huwa wanasubiri maelekezo yaliyotumwa na makao makuu ili kuongeza askari wengine