Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wiki iliyopita jamaa wa ikuru aliniambia nimsogeze mdogo wake na demu wangu pwani
Hatimae kijana kaingia kikosini
 
Nawakumbusha tu sehemu pekee ambayo jamaa wa ikuru alishindwa kupenyeza mtu ni PCCB
Magereza alipenyeza
Zimamoto alikapenyeza kabwana Anko
Polisi alipenyeza wawili
Jwtz done

Connection zipo kweli ila sio kwa pesa ukitoa pesa UTAPUNWA Tu
 
Nawakumbusha tu sehemu pekee ambayo jamaa wa ikuru alishindwa kupenyeza mtu ni PCCB
Magereza alipenyeza
Zimamoto alikapenyeza kabwana Anko
Polisi alipenyeza wawili
Jwtz done

Connection chomboni..li ila sio kwa pesa ukitoa pesa UTAPUNWA Tu
we mbona upenyezwi chomboni na jamaa wako wa ikuru
 
Nawakumbusha tu sehemu pekee ambayo jamaa wa ikuru alishindwa kupenyeza mtu ni PCCB
Magereza alipenyeza
Zimamoto alikapenyeza kabwana Anko
Polisi alipenyeza wawili
Jwtz done

Connection zipo kweli ila sio kwa pesa ukitoa pesa UTAPUNWA Tu
Kwa Kaunda suti alipenyeza? Au ndio wew unasubiri tu?
 
Back
Top Bottom