Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naombeni msaada wa form ya medical checkup wakubwa mwenye nayo
 
You have no idea brother,kaa kimya tu
Bora ungeuliza what happened ila sio kunikashufu namna iyo unadhania mm napenda
Plus kama ulisoma tangazo lile wametaka fundi ndege
Nambie kampuni gani kubwa unayo ijua wewe hapa tz wameajiri hao mafundi ndege
Bro ulisoma PCM au PGM?
 
Six week tu kukesha acha uongo arafu pia jeshi RTS course ni miezi mi4 tu ukeshe siku zote ww utakuwa binadamu wa kawaida arafu pia jeshi la sikuizi haki za binadamu zimeingia sana hivyi coz nyingi sio ngumu sio kama sisi miaka ya 1998 pale Kunduchi RTS..
 
Wewe mbona Muongo sana unatisha watu humu coz ya TPDF ya kupewa no ni ya kawaida sana coz ngumu za TPDF ni Ukomandoo na Uafisa TMA ngumu kumeza basi izo nyingine ni za kawaida sana acha kutisha vijana...
 
Kila jeshu na taratibu zake...
 
Mkuu mbona sisi ndio tunamtegemea Kwa Lonja humu ndanii Ndugu yetu,uwe unakuja kutupa Lonja basi na wewe
 
You have no idea brother,kaa kimya tu
Bora ungeuliza what happened ila sio kunikashufu namna iyo unadhania mm napenda
Plus kama ulisoma tangazo lile wametaka fundi ndege
Nambie kampuni gani kubwa unayo ijua wewe hapa tz wameajiri hao mafundi ndege
Usivunjike moyo mkuu,hapa JF kuna watu wapo kivita vita muda wote,nakuelewa sana,ajira ni ngumu sana kipindi hiki kwa kada yoyote ile,kuna madogo wapo wanajitolea Precision Air nao hawana ajira,ila Mungu ni wa wote utatoboa tu,TPDF ikitoa nafasi niamini unabebwa vizuri tu ukatimize ndoto zako Kizuka au Airwing pale.
 
Naombeni msaada wa form ya medical checkup wakubwa mwenye nayo
[emoji23][emoji24] nenda hospitali ya Serikali mpe Dokta 10k anakujazia chap na ubandike pasaport yako apige muhuri na sahihi.
 
Nani kasema miezi yote mnakesha? Soma vizuri.Haki za binadamu unaongelea kwenye kozi ya kijeshi mkuu? Haki na taratibu wakati wa mafunzo mtasomewa tu na mkuu wa mafunzo ila utekelezaji ni vitu viwili tofauti.
 
Shukrani mkuu,wewe unaelewa hao wa precision air wengi nawajua madogo niliwaacha chuo na wengine nilisoma nao,inatia hasira sana mtu kuzania umembea kutafuta kazi wakati unakaa ofisin anatoka mtu kasoma China anapewa kazi wewe unaendelea kukaa tu,unaambiwa tulia kula mtori nyama zipo chini [emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji24] nenda hospitali ya Serikali mpe Dokta 10k anakijazia chap na ubandike pasaport yako apige muhuri na sahihi.
Zinakuwepo pale pale hospital au naitoa wapi kwenda nayo akanijazie[emoji3]
 
Wewe mbona Muongo sana unatisha watu humu coz ya TPDF ya kupewa no ni ya kawaida sana coz ngumu za TPDF ni Ukomandoo na Uafisa TMA ngumu kumeza basi izo nyingine ni za kawaida sana acha kutisha vijana...
Nadhani wewe unataka kubishana tu,ugumu wa kozi upo kwa mpiga kozi mwenyewe,kama wewe ulipiga kozi na ukaona mteremko tu ni sawa ila mwingine atasema kozi ngumu aiseeh.

Alafu kozi ni kozi tu hata iwe ya saa moja ugumu hauwezi kukosekana,huko TMA au 92 unakosema wapo waliomaliza na wakasema mambo ni easy.
 
Mkuu mbona sisi ndio tunamtegemea Kwa Lonja humu ndanii Ndugu yetu,uwe unakuja kutupa Lonja basi na wewe
Hana lonja gani huyo ni muongi tuu kama walivyo waongo wengine ww uzi huu umeanza mpaka umefika hapa umeona katoa lonja ipi hapa zaidi ya uongo uongo tuu ngoja ni wambie vijana nyie kuweni watulivu tuu majina yatatoka na mtapata maelekezo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…