mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
yaah afadhali kuingia kimya kimya mzigoni kuliko unaaga kwa mbwembwe unarudi umenywea aiseehHeri uende kimya kimya tu sasa
nimependa hapo kwenye kuhamishwa kituoAlafu serikalini mpaka ukisikia mtu kafukuzwa kazi!! Aice basi huo msala ni mkubwa sana kiasi kwamba hata kukusaidia haiwezekani, mtu akizingua labda utaskia kaamishawa kituo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kutangaza unajitia nuksi maana kule waweza rejeshwa nafasi yako akapewa mtu mwingine huku ukaambiwa unfit tu inakuwa imeisha. Vyombo vya ulinzi Hadi umalize mafunzo Huwa Kuna figisu sana na huko ni mwendo wa kujuana zimekuwa kazi za kiukoo na waliomo ndaniyaah afadhali kuingia kimya kimya mzigoni kuliko unaaga kwa mbwembwe unarudi umenywea aiseeh
case closed 100%Kwanza kutangaza unajitia nuksi maana kule waweza rejeshwa nafasi yako akapewa mtu mwingine huku ukaambiwa unfit tu inakuwa imeisha. Vyombo vya ulinzi Hadi umalize mafunzo Huwa Kuna figisu sana na huko ni mwendo wa kujuana zimekuwa kazi za kiukoo na waliomo ndani
maelekezo yake yalikua ya kutisha..atakua amezama UT yulekama sijakosea yule hakuwa shortlisted kabisa UT,nakumbuka alipiga usahili PT,ila alikua anataka azame sana JW
Napataka sana hukoMaafande ivi hakuna aliye pata lonja za usalama wa Taifa
Sijawahi sikia wakitangaza nafasiJamani NAFASI za usalama ni lini
Napataka sana huko
Kuwa kijana wa green mzeeMaafande ivi hakuna aliye pata lonja za usalama wa Taifa
Na hauwezi kupataNapataka sana huko
Zimeshapita tayari ila mwezi wa 10 zinaweza kuwepo tenaMaafande ivi hakuna aliye pata lonja za usalama wa Taifa
Kwamba hata angekua nzi asingefaa kutua kwenye majengo yao au cio πππNa hauwezi kupata
[emoji23] [emoji23]Kwamba hata angekua nzi asingefaa kutua kwenye majengo yao au cio [emoji1][emoji1][emoji1]
Bro umetishaZimeshapita tayari ila mwezi wa 10 zinaweza kuwepo tena
Mwaka 2015 mpaka 2017 mwishoni nafasi zilitolewa kama njugu watu waliingia kwa fujo mno (connection hasa Uvccm)
Then kuanzia 2019 mwanzoni ikaanza vetting kali ya kutoa magugu maji yalioingia kimchongo na wasio na vigezo
So toka hapo bila kuwa na vigezo angalau kwa 80% HAUTOBOI labda uwe na kitu special