Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

😂😂 afu sasa me bado sijawahi kufanya maombi ya majeshi hata moja hata nikitaka kuingia sifanyi application sema tu muda bado kuna mambo yangu nafanya ningekuonyesha kwamba kuingia chmboni sio kazi ngumu....sema nimeshakuelewa na jamaa wako wa ikuru..😂😂sio
Mwanangu yani hata uyo aneyetaka kukusaidia akiona unavyojigamba apa ataona utaleta risk ata kama ndo mkuu wa chombo ataamua kuacha watu wana connection babu ila jifunze kuwa na kifua kaka
 
Back
Top Bottom