Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Polisi waliomba kuongeza watu ..kwahyo itakua kibali kimetoka na walioongezwa ndio hao
 
Watu humu hawapati kazi kwasbb ya kuendelea kuamin mujibu hawez ingia chomboni...pambania uingie chomboni. Mujibu au sio mujibu sio kazi yako. Komaa kutafuta connection yako
Mujibu kwann asiingie?
Kuna watu hawana cheti chochote na wanazama
 
Jamaa wa ikuru kaniambia TAMISEMI upembuzi yakinifu unaanza kesho ngoja nimpenyezee jina la ndugu yangu Dr wa meno

TPDF_23 jiunge suma jkt utoke kwa baba yako
 
Nasubiri mwezi wa nane majina yayoke Ndege Tai na TPDF_23 hawamo tena waanze kulaumiana na kutukana serikali
😂😂 afu sasa me bado sijawahi kufanya maombi ya majeshi hata moja hata nikitaka kuingia sifanyi application sema tu muda bado kuna mambo yangu nafanya ningekuonyesha kwamba kuingia chmboni sio kazi ngumu....sema nimeshakuelewa na jamaa wako wa ikuru..😂😂sio ikulu
 
Back
Top Bottom