Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha tujipange awam nyingine kakaDaaah ni balaa nimeona wameongezwa kama 400 hiviii
Maelekezo yanatembeaa tu
Kama huna nguvu usilaumu ni kukaa kwa kutulia
kuna mwanangu hapo nimetoboa nae jkt naona jina lake kwa shahada na usahili hakuitwa wala hakufanya hahaha ,my countrySecond selection polisi hiyoView attachment 2603837
NI awamu yake hyokuna mwanangu hapo nimetoboa nae jkt naona jina lake kwa shahada na usahili hakuitwa wala hakufanya hahaha ,my country
Naam chiefHahaha tujipange awam nyingine kaka
Naam chiefHahaha tujipange awam nyingine kaka
Umesoma wapiSasa mwezi wa nane si wanatakiwa wale special kama engineers,doctors etc..
Mujibu unatokaje kitaa na kuingia tu chomboni kama sio specialists wa nyanja fulani? Em nieleweshe kaka kwa ujuavyo wewe huo mwezi wa nane wataingiaje na pia kihesabu sidhani kama itakuwa kweli maana hawa waliopo Msata wanaweza wakafunga mwaka ndo wakaapa sasa hao wa mwezi wa8 sijui itakuwa vp nisaidi maelezo kidogo kaka..Umesoma wapi
kafanye yake jamaa wa ikulu au sio😂Jamaa wa ikuru wewe ni Ebenezer
Jw iyo .Iv wanangu io mwezi wa nane wanarudi polisi au jw
Unajua maana ya Ebenezer?Jamaa wa ikuru wewe ni Ebenezer
Jw si walishachukua mara mbili...ile usaili wa kwanza vikosini na awa wa maelekezo ya juzuJw iyo .
Dah asee...na ukipata mtu anaeza kukupambania ukaingia na awa second draft wa polisi atakama jina lako alijawa shortlisted apo?