Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Issue ni kumpa mtu connection na haumfahamu in deep
Unapokutana nao kwenye nyumba za ibada ukazoeana nao angalau kwa miezi 3 inakuwa simple kukushika mkono
Kuna Padri mmoja wa Roman Catholic kawaingiza watumikiaji wengi saana vyomboni hasa Tiss
Parokia nishaijua naelewa Hilo Wana Kama watano walitembea wengin walipata unfit
 
Always huwa nawambia wajuaji hasa huyu afande suma jkt TPDF_23 connection zinajengwa kwa nidhamu sio pesa

Nyumba za ibada zina connection saana kwa Wanangu wa tabora kuna Padri mmoja alikuwa Italia now kaletwa hapo huyu akikushika mkono unaingia chombo chochote cha ulinzi bila wasiwasi alafu yupo simple saana anapenda kucheza na watoto na watumikiaji
 
Asilimia kubwa ya mapadre ni usalama.
Sio wote hii ni kwasababu walikuwa wanachukuliwa wengi seminarini enzi hizo,Mfano shule ya Abbey pale ndanda kuna mapadre ni watu wa usalama.
 
Msife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole

Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
Yaaaah kwenye hili mkuu wa majeshi kasimamia ukucha hakuna mujibu aliyeingia salute kwake ananyoosha hapindishi.
 
Yaan binadamu wanakazi sana! Hapo utakuta kuna watu wanafurahi kusikia lonja kama hiyo! Rizik yako si lazima mtu fulani akose ww ndio upate! Sema ngoja tuangalie wasije wakaanza kulalamika tu
 
Lonja zilizopo, Kuna bogi la makomando lipo 92 linapiga kozi,. Aisee naaimbiwa, wanakula mzigo wa moto, na baadhi ya maaskari wanakimbia kila siku , kurudi vikosini..

Wana kama week moja, Sasa tangu waanze mkesha..
 
Hahahaha daah kweli sio poa
 
Lonja zilizopo, Kuna bogi la makomando lipo 92 linapiga kozi,. Aisee naaimbiwa, wanakula mzigo wa moto, na baadhi ya maaskari wanakimbia kila siku , kurudi vikosini..

Wana kama week moja, Sasa tangu waanze mkesha..
Unanikumbusha kipindi npo jakata kuna pt mmoja aliendaga komandoo na mwamba mmoja hv anabodi la mazoezi vzr na wengine wawili wembamba.....lkn kilichokuja kutokea baada ya kama week kadhaaa hv wakarudi...yule mwamba mwenye bodi zuri akawa anachechemea, yule pt nae alirudi
 
Wale wembamba wawili wakabaki na mmoja wapo akawa anaongoza mabio.....daaah mpaka walimaliza
 
Sasa kama PT wa kikosi tu kaona mzigo wa moto akarudi....alafu wanyabi wengine sio PT wala nini na wakatoboa.....yaaani kila kitu kinawezekana....mungu ndio kila kitu
 
Mkuu samahn sana naomba uni pm kuna vitu natk unielewwshe Lkn cjui kumprivate mtu message
 
Unanikumbusha kipindi npo jakata kuna pt mmoja aliendaga komandoo na mwamba mmoja hv anabodi la mazoezi vzr na wengine wawili wembamba.....lkn kilichokuja kutokea baada ya kama week kadhaaa hv wakarudi...yule mwamba mwenye bodi zuri akawa anachechemea, yule pt nae alirudi
Hahaha nasikia mzigo wa komando , sio wakaida..

Hata mm pale 838kj, Kuna afande alikimbia ukomando, aisee akikupiga banzi , utafurahi
 
Back
Top Bottom