Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Salary yake ipo vizur?

Ya
Salary ni za kawaida plus posho kiasi ila lazima ujenge na ule bia
Hizo nafasi kupata ni rahisi saana kama una professional yoyote hasa IT and law na zinginezo

Security officer hawa sehemu kama Tpa ni miungu watu

All in All jamaa wa ikuru aliupiga mwingi saana pia anamsalimia TPDF_23
 
Msife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole

Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
Ok sawa hizi zenyewe nitamwambia jamaa wa ikuru anisaidie kumpigia pande Boda wangu Choba aingie chomboni
Asanteni
 
Kama mlivyosikia hapo kuwa mwezi kuna ajira zingine ni vyema mkaanza kujipendekeza kwa wakubwa mapema
Jiungeni kwenye kwaya za wazee makanisani kwenu zina wastafu wengi

Kwa kigoma kanisa la Roma katubuka kuna meja general mstaafu anasali pale na kuimba kwaya ana spacio ya silver

Roman Catholic kigango cha mlole kuna mkuu mstaafu wa magereza alikuwa tabora kastafu mwaka jana

Kanisa la (sijui) Lipo pale saigoni kuna RCO huwa anasali pale na ni mwenyekiti wa kwaya

Pia ndugu yetu TPDF_23 endelea kuendesha bodaboda hapo nyasura
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Msife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole

Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
Nafasi za cadet pia ??
 
Mwez wa 8 wanakuja wepi ni jwtz au mambo ya ndani??
 
Kama mlivyosikia hapo kuwa mwezi kuna ajira zingine ni vyema mkaanza kujipendekeza kwa wakubwa mapema
Jiungeni kwenye kwaya za wazee makanisani kwenu zina wastafu wengi

Kwa kigoma kanisa la Roma katubuka kuna meja general mstaafu anasali pale na kuimba kwaya ana spacio ya silver

Roman Catholic kigango cha mlole kuna mkuu mstaafu wa magereza alikuwa tabora kastafu mwaka jana

Kanisa la (sijui) Lipo pale saigoni kuna RCO huwa anasali pale na ni mwenyekiti wa kwaya

Pia ndugu yetu TPDF_23 endelea kuendesha bodaboda hapo nyasura
Wakuu wengi ukiwafat huko hawana shida nishabumumiana na wakuu kibao kanisani wako simple sana
 
Msife moyo ndugu zangu mwezi wa nane wanakuja kuchukua kwanzi mtaani adi kwenye vikosi kwanzia form 4 adi form 6 Kikubwa kuweni wapole

Pia kuhus izi nafasi za hawa walio kaa jkt miaka miwili kwa wale mujibu hamna ata mmoja alie chaguliwa wala kwenda kwaiy tuwe wapole tusubiri mwezi wa nane wote
Umejuaje wa kwa mujibu hawapo ilihali bado watu hawajaripoti.?.
 
Wakuu wengi ukiwafat huko hawana shida nishabumumiana na wakuu kibao kanisani wako simple sana
Issue ni kumpa mtu connection na haumfahamu in deep
Unapokutana nao kwenye nyumba za ibada ukazoeana nao angalau kwa miezi 3 inakuwa simple kukushika mkono
Kuna Padri mmoja wa Roman Catholic kawaingiza watumikiaji wengi saana vyomboni hasa Tiss
 
Back
Top Bottom