Canal pale makao makuu ya jeshi ni mdg sana kuanzia Brighedia general ndio uhakika sana sana.
Though kuna rafki yangu mtt wa Brighedia ilibidi aende cadert mwez wa 12 ila alichujwa kisa umri alkuwa na 30yrs.
What i can conclude jeshini anaehusika na ajira(Afisa uajiri jeshini ni Brighedia ****)So kuanzia Brighedia ambae atakuwa senior kwa huyo au waliopiga nae kozi intake moja(Hapa wanaweza kuwa intake moja ila wenzake bado wakawa ni major,canal,luteni kanali inadepend na aliyewahi kupiga kozi ya kupanda cheo na kufaulu mithn) na marafiki zake wa karibu ndo wanaweza atleast kuwa na chance au na huruma yake na moyo wake pia kusaidia kwa wale watakaomfuata direct huwa anawasaidia.