Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

What i know bhana kwa mwanajeshi connection inategemea upo wapi na una uhusiano gani na wakubwa zako.Kuna staff surgent ana muendesha mkuu wa majeshi na luteni kanali maybe yupo mgulani. Mwenye probability kubwa ya kumsaidia mtu kuingia jeshini kwa haraka ni dereva wa mkuu wa majeshi kuliko luteni kanali wa mgulani.
So ukisema mbanga wa uhakika jeshin ni kuanzia major nakataa kabisa kwasababu nimeshuhudia major mmoja alkuwa mgulani na alishindwa kumsaidia mdg wake kupata nafasi jeshin.
Sahihi jamaa alikuw na mbanga Gen ..,.bado mbanga kuomba aka ambiwa kachelewa next time
 
Canal pale makao makuu ya jeshi ni mdg sana kuanzia Brighedia general ndio uhakika sana sana.
Though kuna rafki yangu mtt wa Brighedia ilibidi aende cadert mwez wa 12 ila alichujwa kisa umri alkuwa na 30yrs.
What i can conclude jeshini anaehusika na ajira(Afisa uajiri jeshini ni Brighedia ****)So kuanzia Brighedia ambae atakuwa senior kwa huyo au waliopiga nae kozi intake moja(Hapa wanaweza kuwa intake moja ila wenzake bado wakawa ni major,canal,luteni kanali inadepend na aliyewahi kupiga kozi ya kupanda cheo na kufaulu mithn) na marafiki zake wa karibu ndo wanaweza atleast kuwa na chance au na huruma yake na moyo wake pia kusaidia kwa wale watakaomfuata direct huwa anawasaidia.
Cp anacheo Cha Major Gen mkuu wa utumishi na ajira MMJ
 
Major Gen mkuu wa utumishi msaidz wake Lt.Col
 
Wengi hichi kitu hatujui nakumbuka time nimemaliza form four nilitaka kwenda field force na nafasi ilipatikana usiku ikatakiwa niende kikosini asubuhi yake
Shemeji yangu nisiyekuwa nakaa kwake akakataa akanipeleka chuo kusoma diploma ya mechanical engineering
Nadhani nachopata sasa ni mara 5 ya huko upolisini
Field force si ni kitengo cha PT mkuu ama? Nikimaanisha nao pia wanatokea CCP. Sasa wewe ulitkiwa kwenda kikosi kipi?

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wengine huwa hawaweki nguvu nyingi chief...
Ila kama haikupangwa haitafanikiwa..ukilazimisha ukiingia hata kazini changamoto zinakua hazikuishi na utakua unajutia daily
Nanukuu wimbo wa Mwana Fa_Mfalme
"Unapata ulichoandikiwa
Hata kama hukitaki
 
Hakika simdai chochote jamaa wa ikuru kaupiga mwingi saana
TPDF_23
We pambana na jamaa yako wa ikuru tu ila tushakushtukia kitambo sana mkuu ila we hujishtukii bado🤣🤣.......watu washakwambia hujui kitu bora utulie tu....kwani kuna ulazima wa kuandika humu mbna wengine wamekaa kimya....unataka uingize watu mkenge wakitafte uwapige hela trust me hakuna connection inayojitangaza hiv kweupe hakuna
 
We pambana na jamaa yako wa ikuru tu ila tushakushtukia kitambo sana mkuu ila we hujishtukii bado[emoji1787][emoji1787].......watu washakwambia hujui kitu bora utulie tu....kwani kuna ulazima wa kuandika humu mbna wengine wamekaa kimya....unataka uingize watu mkenge wakitafte uwapige hela trust me hakuna connection inayojitangaza hiv kweupe hakuna
Jamaa wa ikuru kaupiga mwingi
 
Back
Top Bottom