Salary yake ipo vizur?
Yamara nyingi wanakuwa ni security officers ,kuna wanangu walienda mwakajuz walichukuliwa makambini wakafanya usahili mgulani now naona safari za ndege tuu hadi wameshajenga.