Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Bahati ipo ila wengi wakifanikisha huwa hawasemi ukweli ni njia gani wamepitia kupata nafasi hizo
Bahat ipo mzee wakati mwngne ni chance tu, kwa njia hii ya usaili ddma utumish wamepunguza sana swala la kupeana nafas, huyu mmoja kaitwa kama placement, hv kk kwa ajira za TAMISEMI 21000 UNATEGEMEA watu wa connction wanazd 5000? Hapo weng wanaenda by chance, ajira za conn n jeshin na secta kubwa kama TRA, BANDARI, huku TAMISEMI ni gombania goli tu
 
Kabisa man umenena vyema
 
Hii kweli Tamisemi zote haziwezi kuwa connection lazma zibaki za gombania goli
 
Hapo kwenye ajira ulizitaja za connection na mm nafanya kazi mojawapo na ni kweli niliingia kwa connection
Shemeji yangu alinipeleka kwa kigogo mmoja night tukala wakaongea akaniambia jumatatu njoo kazini
J3 nikaenda zikafanyika baadhi ya taratibu ndani ya siku 11 nikapangiwa job mafichoni kigoma

But mwaka jana kuna madogo waliajiriwa hakuna hata mmoja aliyeingia kwa connection (Utumishi walikaza)

So connection zipo na bahati zipo

Kubwa zaidi ni kuwa connection zinajengwa kwa nidhamu na watu wanaokuzunguka
 
Sahihi mkuu, kwenye TAASISI nyeti conn is must, ila huku TAMISEMI Nying ni by chance, hata ukianglia aina ya watu waliosomea koz hizo weng hawana conn , wakiajiriwa wao ndio conn sasa yenyew kwa wadg zao hah
 
Mak@lio yako si ujiingize mwenyewe.
Vishoka mmekuwa wengi sana kwenye huu uzi wetu.
Mkuu usidharau watu aisee....hizi profile names zisikuchanganye....kuna watu wakubwa mno humu..

Kikubwa ni kuchekecha tuu akili..
 
jw wamewachinjia baharini watu kimya kama hawajui walitumaga maombi tpdf hawa ndo tabia yao kucheza na akili za watu utangaza ajira na kukaa kimya mazima,,,
 
Mak@lio yako si ujiingize mwenyewe.
Vishoka mmekuwa wengi sana kwenye huu uzi wenu
Usirudie sikunyingine kumtusi mtu ambaye hata kumuona hujawahi kunasiku utakielewa hichi nilichokushauri leo hakika amini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…