Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
HIi ronja ipo kweli au ?
Ipo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo mkuu
Utumishi,walifanya dom , wameitwa juz mmoja ruwasa mmoja SIDO, ni wanangu wa shule za kataWamepitia usahili utumishi au hapo hapo Ruwasa
Mzee bahat ipo mzee, jamaa zangu 2 wameingia RUWASA juzi hapa bila connction yyte
Mzee bahat ipo mzee, jamaa zangu 2 wameingia RUWASA juzi hapa bila connction yyte
Bahat ipo mzee wakati mwngne ni chance tu, kwa njia hii ya usaili ddma utumish wamepunguza sana swala la kupeana nafas, huyu mmoja kaitwa kama placement, hv kk kwa ajira za TAMISEMI 21000 UNATEGEMEA watu wa connction wanazd 5000? Hapo weng wanaenda by chance, ajira za conn n jeshin na secta kubwa kama TRA, BANDARI, huku TAMISEMI ni gombania goli tuBahati ipo ila wengi wakifanikisha huwa hawasemi ukweli ni njia gani wamepitia kupata nafasi hizo
Utumishi inawezekana ila kwa kwenye taasisi ngumu sana kutoboaUtumishi,walifanya dom , wameitwa juz mmoja ruwasa mmoja SIDO, ni wanangu wa shule za kata
Kabisa man umenena vyemaBahat ipo mzee wakati mwngne ni chance tu, kwa njia hii ya usaili ddma utumish wamepunguza sana swala la kupeana nafas, huyu mmoja kaitwa kama placement, hv kk kwa ajira za TAMISEMI 21000 UNATEGEMEA watu wa connction wanazd 5000? Hapo weng wanaenda by chance, ajira za conn n jeshin na secta kubwa kama TRA, BANDARI, huku TAMISEMI ni gombania goli tu
Hii kweli Tamisemi zote haziwezi kuwa connection lazma zibaki za gombania goliBahat ipo mzee wakati mwngne ni chance tu, kwa njia hii ya usaili ddma utumish wamepunguza sana swala la kupeana nafas, huyu mmoja kaitwa kama placement, hv kk kwa ajira za TAMISEMI 21000 UNATEGEMEA watu wa connction wanazd 5000? Hapo weng wanaenda by chance, ajira za conn n jeshin na secta kubwa kama TRA, BANDARI, huku TAMISEMI ni gombania goli tu
Hapo kwenye ajira ulizitaja za connection na mm nafanya kazi mojawapo na ni kweli niliingia kwa connectionBahat ipo mzee wakati mwngne ni chance tu, kwa njia hii ya usaili ddma utumish wamepunguza sana swala la kupeana nafas, huyu mmoja kaitwa kama placement, hv kk kwa ajira za TAMISEMI 21000 UNATEGEMEA watu wa connction wanazd 5000? Hapo weng wanaenda by chance, ajira za conn n jeshin na secta kubwa kama TRA, BANDARI, huku TAMISEMI ni gombania goli tu
Sahihi mkuu, kwenye TAASISI nyeti conn is must, ila huku TAMISEMI Nying ni by chance, hata ukianglia aina ya watu waliosomea koz hizo weng hawana conn , wakiajiriwa wao ndio conn sasa yenyew kwa wadg zao hahHapo kwenye ajira ulizitaja za connection na mm nafanya kazi mojawapo na ni kweli niliingia kwa connection
Shemeji yangu alinipeleka kwa kigogo mmoja night tukala wakaongea akaniambia jumatatu njoo kazini
J3 nikaenda zikafanyika baadhi ya taratibu ndani ya siku 11 nikapangiwa job mafichoni kigoma
But mwaka jana kuna madogo waliajiriwa hakuna hata mmoja aliyeingia kwa connection (Utumishi walikaza)
So connection zipo na bahati zipo
Kubwa zaidi ni kuwa connection zinajengwa kwa nidhamu na watu wanaokuzunguka
Mak@lio yako si ujiingize mwenyewe.wanaotamani kutuma maombi ila hawana hiz taaluma natoa ofa kwa watu wa 3 tuu
Mkuu usidharau watu aisee....hizi profile names zisikuchanganye....kuna watu wakubwa mno humu..Mak@lio yako si ujiingize mwenyewe.
Vishoka mmekuwa wengi sana kwenye huu uzi wetu.
Chief vp ile ishu ulianza?Mak@lio yako si ujiingize mwenyewe.
Vishoka mmekuwa wengi sana kwenye huu uzi wetu.
Tutawajuaje mkuu tusaidie nasisi tuwajueKweli hata hao TISS humu wapo wanawachora tu munavopeana maujanja ya kuingia chomboni kiurahisi
Usirudie sikunyingine kumtusi mtu ambaye hata kumuona hujawahi kunasiku utakielewa hichi nilichokushauri leo hakika aminiMak@lio yako si ujiingize mwenyewe.
Vishoka mmekuwa wengi sana kwenye huu uzi wenu
Utawajua tu pale utakapowakosea watakuuliza (unanijua minani)Tutawajuaje mkuu tusaidie nasisi tuwajue
Wakina nani hawa wanaosemaga hivi kiongoziUtawajua tu pale utakapowakosea watakuuliza (unanijua minani)
24/5/2023 Usahili vikosi vya jkt unaanzaLonja za jw zinasemaje wanazengo?