Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 307
- 244
Sawa.wako kimbiji chuo cha uongozi mkuu kigamboni kubwa
Nazungumzia utaratibu official kabisa wa jeshi la Magereza. Kitakachofanyika ni hicho. JKT na kozi zilizotajwa kwa wale waliotuma barua. Kama kuna utaratibu mwingine unaoujua basi huo sio official.Vigezo ni jkt?? Hahah!! Wakati watu wanaingia huko kila siku bila hata kupitia jkt!!! Na wapo wataoingia hata ambao fani zao hazikutajwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
NDC wanatoa kozi maalumu kulingana na mahitaji ya nchi kwenye nyanja mbalimbali za ulinzi na usalama. Wanaosoma pale ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali za ulinzi na usalama.NDC sio lazima uwe Jwtz...cuz kule wanatoa masters in security n.k
Watapigiwa simu kujilishwa utaratibu wa usahili.Huwa nikupigiwa Simu au watatoa PDF??
Keypoint "course za kuongeza vyeo"NDC sio lazima uwe Jwtz...cuz kule wanatoa masters in security n.k
Wanaosoma pale ni maafisa wa jeshi wenye cheo kuanzia Kanari na 'directors' wa idara mbali mbali za serikali za nchi mbalimbali.NDC wanatoa kozi maalumu kulingana na mahitaji ya nchi kwenye nyanja mbalimbali za ulinzi na usalama. Wanaosoma pale ni waajiriwa wa taasisi mbalimbali za ulinzi na usalama.
Nipo Sirius manWw nahisi hupendi kua mwalimu wa jeshi.
Mjomba kama mjomba.[emoji28]
"Cheti cha jkt Mujibu ndiyo ulipitaga" [emoji2960]
Hizi mishe watu wanakausha mpaka ziwe zimetika mkuu!! Ushauri tu mkuu wangu
Huyu hafai kuajiriwa katika taasisi za ulinzi na usalama. Hawezi kutunza siri. Upuuzi huu. Kuna vitu vya kuweka public unless kama umejiandikia tu..lakini still ni show off za kipuuzi.
washamnoteHuyu hafai kuajiriwa katika taasisi za ulinzi na usalama. Hawezi kutunza siri. Upuuzi huu. Kuna vitu vya kuweka public unless kama umejiandikia tu..lakini still ni show off za kipuuzi.
Tukiwaambia mujibu hawajaiva hua mnabisha humu sasa huu si u raia kabisa haya ndio yanayokufaga rts hayajitambui yanabebwa tu na wajombaHuyu hafai kuajiriwa katika taasisi za ulinzi na usalama. Hawezi kutunza siri. Upuuzi huu. Kuna vitu vya kuweka public unless kama umejiandikia tu..lakini still ni show off za kipuuzi.
Watu wanasahau kama jamii forum inaangaliwa na watu wengi sana!! Unaweza kuta mbuyu aliyembwia amtumie hizo taarifa yupo humu... Sa kijana si atakuwa ashaalibu kazi hapo [emoji23]Huyu hafai kuajiriwa katika taasisi za ulinzi na usalama. Hawezi kutunza siri. Upuuzi huu. Kuna vitu vya kuweka public unless kama umejiandikia tu..lakini still ni show off za kipuuzi.
Oyaa kwangu haigunguki mdhee...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kafeli pakubwa sanaaaa aiseeHuyu hafai kuajiriwa katika taasisi za ulinzi na usalama. Hawezi kutunza siri. Upuuzi huu. Kuna vitu vya kuweka public unless kama umejiandikia tu..lakini still ni show off za kipuuzi.
Nimeshangaa afu screen shoot yake inaonhesha muda aliopiga hii picha na teknolojia ilivyo sasa uyu ajirekebishe vijana tunacshida sanaHuyu hafai kuajiriwa katika taasisi za ulinzi na usalama. Hawezi kutunza siri. Upuuzi huu. Kuna vitu vya kuweka public unless kama umejiandikia tu..lakini still ni show off za kipuuzi.
Kaweka na jina la mjomba wake kabisa na alichati nae jumamosi picha inaonyesha yani huyu wakimfanyia reconisence wakimpate mjomba wake au yeye watamwagia kwa ndaniTukiwaambia mujibu hawajaiva hua mnabisha humu sasa huu si u raia kabisa haya ndio yanayokufaga rts hayajitambui yanabebwa tu na wajomba
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app