Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asee UT pagumu haswa, hadi upate mtu mkubwa siyo bora mtu bali mtu mzitoUhamiaji anza kuandaa line ya uhakika mapemaaa mnooo huwa pagumu kulee
Zinakuja tena amaa??asee UT pagumu haswa, hadi upate mtu mkubwa siyo bora mtu bali mtu mzito
Nipo mweupe kabisa kaka sina lonja yoyote..Living Pablo tupe ronja mzee wa kazi
Sijajua ila wanaweza kuja againZinakuja tena amaa??
May be wamezamaWakuu leteni lonja..!!
Au mshazama chomboni tayariii.
Mwamba Zafrain sag alikua anashusha sana lonja za mtipidii.May be wamezama
walioomba tuu tokea march hadi leo bado hawajaitwaIle ronja ya nafasi za madereva na mafundi JWTZ 'May' imeyeyuka kama theluji au ?
Dogo yuko jakata anasema baadhi ya makambi tangazo lime bandikwa nao kwao soon wanakujaMwamba Zafrain sag alikua anashusha sana lonja za mtipidii.
Ila sasahivi yupo kimya,huenda kazama.
Anha!! Kumbe mwamba yupo jakata.Dogo yuko jakata anasema baadhi ya makambi tangazo lime bandikwa nao kwao soon wanakuja
tarehe 24 wanaanza usahili makambiniDogo yuko jakata anasema baadhi ya makambi tangazo lime bandikwa nao kwao soon wanakuja
Walewale!.WALE WATU