Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kumekua na muamko sana wa watu kuomba hizi ajira za Majeshi ikiwemo MT sio kama hapo zaman
 
Wakubwa mwenye mbanga hzi nafasi za MT jamen
Ajira no ngum sana jamen watu tuna fani lakin bado za uso .. nilikosa nafasi ya PT kimasihara tu kisa mbaga vigezo nilikuanavyo intervew ndo usiseme ila kukosa cnnection ndipo ttzo
 
Kumekua na muamko sana wa watu kuomba hizi ajira za Majeshi ikiwemo MT sio kama hapo zaman
Mambo yamebadilika sana siku hizi,binafsi wakati nasoma sikuwahi fikiriaga kabisa kujoin hivo vyombo vya ulinzi, lakini nimekujaa mtaani mambo ni tofauti kabsa na tulivokua tukidhani, kwahyo kimsingi binafsi au na baadhi tunataka tujoin hivi vyimbo sio kwamba tunapenda bali unakuta wengi. Wengi wetu hatuna option nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajira no ngum sana jamen watu tuna fani lakin bado za uso .. nilikosa nafasi ya PT kimasihara tu kisa mbaga vigezo nilikuanavyo intervew ndo usiseme ila kukosa cnnection ndipo ttzo
Ili utoboe kigezo kikubwa ni mbanga tu.
 
Maisha hayako fair kabisa ..kuna watu wanaacha kazi kila leo ,,wajuba ndo kwanzaa tunapambania
MT watu wanakimbiaga sijui tatizo kubwa Nini,hao MG kama wanahitaji kweli Askari wachukue walioomba kwa idadi kubwa.watanue Jombo hilo,mana magereza kumepoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…