Duuh kuna watu wamejilaYeah since last week wako live mkuu
Hizi ni zile za juzi?Haya vijana wa magereza View attachment 2641926
Hao wa taaluma ni pdf tu hamna cha simuBas itakuwa wale wa taaluma watapigiwa simu tu
kuna watu wanabahat, kuna msichana namjua ameenda polisi na huku ameitwa nakoHaya vijana wa magereza View attachment 2641926
kuna watu wanabahat, kuna msichana namjua ameenda polisi na huku ameitwa nako
Mkuu MT na PT bora wapikuna watu wanabahat, kuna msichana namjua ameenda polisi na huku ameitwa nako
for me PTMkuu MT na PT bora wapi
Inajulikana tu PT ni bora haitaji discussionMkuu MT na PT bora wapi
Ubora wa PT uko wapi dhidi ya MT?Inajulikana tu PT ni bora haitaji discussion
Sidhan .hiyo pdf inasema jmos kureport chuo jtatu kozi inAANza . Na kuna mtu katoa lonja hapo juu kuwa wale wa taalum ndo wanayachambua sahz...maanake hizi ajira zilizotangazwa juz usahil wake bado.Hao wa taaluma ni pdf tu hamna cha simu
Kwenye PT vitengo hela na madili yapo kama yote haijalishi ni rushwa au ni dhuluma hela ni hela tu boblai tutakutana ahera ,bado hivi vibogi vya kwenda kulinda amani darfur , Msumbiji etc wanavuta mpunga shida usife tu MT wanaenda ila sio kama PT boblaiUbora wa PT uko wapi dhidi ya MT?
Nimekusoma vema.Kwenye PT vitengo hela na madili yapo kama yote haijalishi ni rushwa au ni dhuluma hela ni hela tu boblai tutakutana ahera ,bado hivi vibogi vya kwenda kulinda amani darfur , Msumbiji etc wanavuta mpunga shida usife tu MT wanaenda ila sio kama PT boblai
Ndio hicho ninachosema wakimaliza uchambuzi majina ya kwenda kwenye usaili makao makuu either iwe msalato au pale moro ni pdf sio simu na majina ya mwisho ya waliofanikiwa kwenda kuungana na wenzao kiwira ni pdf sio simuSidhan .hiyo pdf inasema jmos kureport chuo jtatu kozi inAANza . Na kuna mtu katoa lonja hapo juu kuwa wale wa taalum ndo wanayachambua sahz...maanake hizi ajira zilizotangazwa juz usahil wake bado.
Ok.Ndio hicho ninachosema wakimaliza uchambuzi majina ya kwenda kwenye usaili makao makuu either iwe msalato au pale moro ni pdf sio simu na majina ya mwisho ya waliofanikiwa kwenda kuungana na wenzao kiwira ni pdf sio simu
AU majina yamefanana mankuna watu wanabahat, kuna msichana namjua ameenda polisi na huku ameitwa nako
Inawezekana alifanya usahil wa PT na MT . Lkn PT majina yakawahi Kutoka .AU majina yamefanana man
Hakuna usahili naskia ni moja kwa moja utaenda kupimwa uko uko na ukaguzi wa vyeti...ila ni lonja tu nimepataNdio hicho ninachosema wakimaliza uchambuzi majina ya kwenda kwenye usaili makao makuu either iwe msalato au pale moro ni pdf sio simu na majina ya mwisho ya waliofanikiwa kwenda kuungana na wenzao kiwira ni pdf sio simu
Watawapunguzaje? maana lazima wataitwa wengiHakuna usahili naskia ni moja kwa moja utaenda kupimwa uko uko na ukaguzi wa vyeti...ila ni lonja tu nimepata
Ni watu huwa nawaambia ,achaneni na ujinga huu wa kupoteza muda kuhangaika na hizo kazi za majeshi , ukiritimba na upuuz uliopo kwenye mfumo wa kuajiri kwenye hayo majeshi uko wazi kabisaNa hao wenye elimu unaodai wamejaa jeshini kwani kuna shida gani jeshi letu likipata wasomi au tumezoea kua askari mzuri ni aliyechemka mtihani au unahurumia pesa watakazo lipwa vijana wetu wazalendo zitakua kubwa unahisi zitazidi wanazochukua mafisadi? We kuna siku utanielewa tu mkuu siku siku ukiona tangazo la hizo nafasi za maengeer unazosema watataja vigezo vya kawaida sana apply uone kama hawajaingia vikongwe wenye vitambi wakaacha vijana wasio na connection "mtu mweusi ni mbaya sana na hafai kujiongoza tutafute mkoloni atuongoze"