Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nenda,kuna mdogo wangu alikua anawaza hivyohivyo kuhusu connection,Nikamwambia we omba,zile za PT na amepata bila hata connection.Sasa hivi yupo CCP.We omba mkuu.
 
Hao wa taaluma ni pdf tu hamna cha simu
Sidhan .hiyo pdf inasema jmos kureport chuo jtatu kozi inAANza . Na kuna mtu katoa lonja hapo juu kuwa wale wa taalum ndo wanayachambua sahz...maanake hizi ajira zilizotangazwa juz usahil wake bado.
 
Ubora wa PT uko wapi dhidi ya MT?
Kwenye PT vitengo hela na madili yapo kama yote haijalishi ni rushwa au ni dhuluma hela ni hela tu boblai tutakutana ahera ,bado hivi vibogi vya kwenda kulinda amani darfur , Msumbiji etc wanavuta mpunga shida usife tu MT wanaenda ila sio kama PT boblai
 
Nimekusoma vema.
 
Sidhan .hiyo pdf inasema jmos kureport chuo jtatu kozi inAANza . Na kuna mtu katoa lonja hapo juu kuwa wale wa taalum ndo wanayachambua sahz...maanake hizi ajira zilizotangazwa juz usahil wake bado.
Ndio hicho ninachosema wakimaliza uchambuzi majina ya kwenda kwenye usaili makao makuu either iwe msalato au pale moro ni pdf sio simu na majina ya mwisho ya waliofanikiwa kwenda kuungana na wenzao kiwira ni pdf sio simu
 
Ok.
 
Hakuna usahili naskia ni moja kwa moja utaenda kupimwa uko uko na ukaguzi wa vyeti...ila ni lonja tu nimepata
 
Wamekurupuka baada ya hotuba ya wazir wa mambo ya ndani bungeni...ko sahz kila kitu kinafanyika haraka haraka tu
 
Na hao wenye elimu unaodai wamejaa jeshini kwani kuna shida gani jeshi letu likipata wasomi au tumezoea kua askari mzuri ni aliyechemka mtihani au unahurumia pesa watakazo lipwa vijana wetu wazalendo zitakua kubwa unahisi zitazidi wanazochukua mafisadi? We kuna siku utanielewa tu mkuu siku siku ukiona tangazo la hizo nafasi za maengeer unazosema watataja vigezo vya kawaida sana apply uone kama hawajaingia vikongwe wenye vitambi wakaacha vijana wasio na connection "mtu mweusi ni mbaya sana na hafai kujiongoza tutafute mkoloni atuongoze"
Ni watu huwa nawaambia ,achaneni na ujinga huu wa kupoteza muda kuhangaika na hizo kazi za majeshi , ukiritimba na upuuz uliopo kwenye mfumo wa kuajiri kwenye hayo majeshi uko wazi kabisa
 
Back
Top Bottom