Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Huu utawala wa maza kupata ajira ni rahis sana na ni ngumu sana...kama unaconnection ni rahis sana faster tu. Ila kama huna connection ni ngumu sana.
Nimekuelewa mZee maana ajira kila siku zinatoka taasisi mbalimbalii shida ni namna ya kupenya ila apo nyuma unaeza kua na mtu na usiajiliwe maana ajira zilikua azitokii

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nahis adi police mwezi wa nane wanakuja mana nakumbuka kuna mkuu mmoja wa mkoa furani aliniambia nisubir mwezi wa nane icho kipindi anacho niambia ivyo nilikua nipo kwenye mchakato wakuende police so nahis adi mwezi wa nane watakuja
Course inayoendelea itakuw bado haijaisha. Recruitment hufanyika course ya awali ikishamalizika.Kumbuka course ni mwaka mzima.
 
Course inayoendelea itakuw bado haijaisha. Recruitment hufanyika course ya awali ikishamalizika.Kumbuka course ni mwaka mzima.
Mzee unacho ongea ni sawa ila kuna mambo Mwngi kweny ivi vyombo ivi unajua kua ata uko jw kuna kozi ndefu na fupi yani mwaka na miezi sita
 
Mzee unacho ongea ni sawa ila kuna mambo Mwngi kweny ivi vyombo ivi unajua kua ata uko jw kuna kozi ndefu na fupi yani mwaka na miezi sita
Mana uyo alie niambia icho kipindi kua mwezi wa nane wanarudi tenna ni mtu mkubwa sana serilakini pia nina mnuku alivyo sema kua naomba asubiri mwezi wa nane ataenda mana watarudi tena
 
Yan kuzama chomboni kumeguwa kugumu sana aise..hata Zimamoto kugumu sana
Mkuu ndege..

Nilichojifunza katika majeshi unatakiwa uyaanadae mazingira mapema sana nje ya uwanja.

Katika haya majeshi kuna kauzibe sana when it comes to recruitments..

Andaa mapema mazingira mkuu.
 
Mkuu ndege..

Nilichojifunza katika majeshi unatakiwa uyaanadae mazingira mapema sana nje ya uwanja.

Katika haya majeshi kuna kauzibe sana when it comes to recruitments..

Andaa mapema mazingira mkuu.
Hyo nzuri kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…