Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Wapi huko na vipi tetesi za miezi 7/8 apo ndo imepigwa As you were?Taarifa nilizopatani kuwa mwezi huu mwishoni watu wataitwa sehemu X iliyoteuliwa kwaajili ya Kozi.Usaili utafanyika hukohuko wakifika,Hii ni kwa wale wa TPDF.