Zafrain sag
JF-Expert Member
- Sep 14, 2019
- 238
- 354
Utaendelea mwez wa saba usahiliKo usahili utaanza lini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaendelea mwez wa saba usahiliKo usahili utaanza lini mkuu?
uhamiaji? kama kule kati wengine wanamaliza na wengine walishafanya usahili wameanza kuripoti wiki hii
Yah kama 87 hivi. Hata bungeni wazir alisemauhamiaji? kama kule kati wengine wanamaliza na wengine walishafanya usahili wameanza kuripoti wiki hii
Idarani ni unyama ukipata...bunge limepitisha sheria ya kuwalinda.
Kuna jamaa yangu alipigika sana kitaa baada ya kumaliza chuo,Nimepata nguvu na kuamini safari Hii naeza kupata ajira hizi za majeshi, Nina marafik zangu wa karibu sana mmoja wa kike na mmoja wa kiume wote wamepata nafasi ya Ajira hzi mpya za ualimu,hakika kila rizki inakuja kwa wakat wake.Tumuamini mungu kama yeye ndio mtoa rizki na hakuna mwengine zaidi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
siku zote wakati wa Mungu ni sahihi let's keep praying [emoji1488]Kuna jamaa yangu alipigika sana kitaa baada ya kumaliza chuo,
Mungu sio baba levo, sahivi ni luteni wa jeshi
Wewe unazungumzia usalama mwenzako anazungumzia uhamiajiIdarani ni unyama ukipata...bunge limepitisha sheria ya kuwalinda.
Kumbe uhamiaji...uhamiaji sio idara tena.Wewe unazungumzia usalama mwenzako anazungumzia uhamiaji
Hao wanaoripoti mkeka wao ulitoka lini nachojua kuna ambao wapo kozi imeanza mwezi wa 3uhamiaji? kama kule kati wengine wanamaliza na wengine walishafanya usahili wameanza kuripoti wiki hii
Hakuna walioripot wiki hii mkuu labda hao wakunnua nafasi,toka mwezi wa 3 nadhan kozi mpya imeanzauhamiaji? kama kule kati wengine wanamaliza na wengine walishafanya usahili wameanza kuripoti wiki hii
hukunielewa me nlimaanisha[emoji1652]Hao wanaoripoti mkeka wao ulitoka lini nachojua kuna ambao wapo kozi imeanza mwezi wa 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ilikuaje..Kuna jamaa yangu alipigika sana kitaa baada ya kumaliza chuo,
Mungu sio baba levo, sahivi ni luteni wa jeshi
Nliulizia ccpMT kaka
Unajua kozi zao zinaanza mwez wa ngapi kaka?