Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

jamaa kamaliza chuo juzi anawaza nyota... samwaleko [emoji28][emoji28]
Hahaha msimkatishe tamaa mwenzenu bana, kama akifanikiwa kuzama Mtipidii kwa elimu yake akimaliza course ya RTS basi TMA panamhusu labda akazingue tu mwenyewe huko kwenye course, kwa majeshi ya bongo angalau Jeiwii wanathamini elimu tofauti na huko kwengine ambako ni kawaida kukuta mtu mwenye elimu ya juu anasota miaka hadi kuenda course ya uafisa
 
blazaa hzi kazi ni kama ufalme...mwendo kurithishana tu.. lakn kila mmoja ana bahat yake
 
Kama kuna mtaalamu wa meno na hajaitwa MT usaili,na vigezo vyote unavyo choma nauli nenda msalato na komaa hadi upige usaili
Utakuja kunishkuru
Kuna vigezo vilivyoangaliwa hadi hao vijana wakaitwa kwenye usaili. Kama mtu hajaliona jina lake si vyema akapoteza muda kwenda Dodoma. Halafu pia nafasi si nyingi. Hivyo hao vijana walioitwa wachache ndo watapata nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…