Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ila JWTZ as i said previously mwezi huu mwishoni wataanza kuita watu let's be patient wakuu
 
Wadau hivi hizi sahili huwa za oral au wtitten
Usaili Magereza ni oral na written kwa wenye taaluma. Na vipimo vingine kama ilivyo kawaida ya majeshi. Baadhi ya vijana wameanza leo, kesho usaili utaendelea.
 
Kwa wale mafundi, madereva na wengine wenye utaalamu usaili ni kwa vitendo zaidi.
 
Usaili Magereza ni oral na written kwa wenye taaluma. Na vipimo vingine kama ilivyo kawaida ya majeshi. Baadhi ya vijana wameanza leo, kesho usaili utaendelea.
And kwa wenye taaluma wanakuuliza maswali about taaluma yako au wanauliza ya kwao ya kuhusu magereza yao
 
Mostly kwenye written ni taaluma yako, hata kwenye oral ni taaluma ingawa sio kwa muda mrefu. Unapimwa vitu vingi pale, kwenye taaluma unaweza ukaulizwa kiswali kimoja then unaambiwa uende
 
Na walivyo wengi huo mda wa kuwauliza maswali mengi watoe wapi kuna kuchoka aisee
 
Mshahara wa askari magereza Tsh ngapi?
Si vyema sana kuuuliza maswali ya aina hii. Na wala usitegemee mtu mwenye akili timamu akakujibu kiuhalisia. Tunajua kuna tatizo la ukosefu wa ajira ila vijana si vyema kukimbilia nafasi za majeshi kwa kufuata vyeo na mishahara. Kama unapenda jeshi, tafuta nafasi upate ukachokitapata ndicho hichohicho. Wala msiwe na tamaa sana ya kupata pesa nyingi au vyeo kama mnavyotaka. Ukipata pesa nyingi fanya biashara huko mtaani. Hakuna Tajiri aliyeajiriwa serikalini au kwenye majeshi.
 
Hivi wale wenye vyeo huko majeshini ni kwamba hawajawahi kuvitaka wala kuviwaza eh
 
Wakuu issue ya urefu imekaaje hyo 5.7 kama hujafikishaa vipiii??
Au wanatupa taulo tuhh
 
Back
Top Bottom