Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hello makamanda karibuni sana
Nakutengenezea vpn ya TTCL android na iPhone unlimited bundle kuanzia wiki na kuendelea ambapo utaperuzi YouTube, Ticktok ,insta,fb,WhatsApp na kudownload movie
Wiki = 6000
Wiki mbili=11000
Mwezi=14000
0768599839
Vp speed ya internet
 
Mnadhimu mkuu jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amewataka askari wapya waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya RTS Kihangaiko kutokujihusisha na vikundi vya ushawishi wa vyama vya siasa,matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ,pamoja na makundi ya kiuhalifu.Katika sherehe ya kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule hiyo Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amesema kwa yeyote atakaebainika kushiriki katika vitendo hivyo ataondolewa jeshini.Kwa upande wake mkuu wa shule hiyo ya mafunzo RTS Kihangaiko Kanali Michael Mayala, amewataka askari hao wapya kwenda kufanya kazi kwa bidii katika maeneo yao ya kazi watakaopangiwa pamoja na kuzitunza afya zao.
83D7565B-E120-4875-B312-B93F0CCCFC18.jpeg
 
Mnadhimu mkuu jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amewataka askari wapya waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya RTS Kihangaiko kutokujihusisha na vikundi vya ushawishi wa vyama vya siasa,matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ,pamoja na makundi ya kiuhalifu.Katika sherehe ya kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule hiyo Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amesema kwa yeyote atakaebainika kushiriki katika vitendo hivyo ataondolewa jeshini.Kwa upande wake mkuu wa shule hiyo ya mafunzo RTS Kihangaiko Kanali Michael Mayala, amewataka askari hao wapya kwenda kufanya kazi kwa bidii katika maeneo yao ya kazi watakaopangiwa pamoja na kuzitunza afya zao.View attachment 2675055

Wajuba waje kupoa kidogo na wenye mbanga za kueleweka basi wataendelea walipoishia soon.
 
Mnadhimu mkuu jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amewataka askari wapya waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya RTS Kihangaiko kutokujihusisha na vikundi vya ushawishi wa vyama vya siasa,matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ,pamoja na makundi ya kiuhalifu.Katika sherehe ya kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule hiyo Luteni Jenerali Salum Haji Othmani ,amesema kwa yeyote atakaebainika kushiriki katika vitendo hivyo ataondolewa jeshini.Kwa upande wake mkuu wa shule hiyo ya mafunzo RTS Kihangaiko Kanali Michael Mayala, amewataka askari hao wapya kwenda kufanya kazi kwa bidii katika maeneo yao ya kazi watakaopangiwa pamoja na kuzitunza afya zao.View attachment 2675055
Hivi walianza kozi lini mbona nahisi kama wamewahi kumaliza?
 
Kuna watu wa sayansi humo walienda toka mwaka Jana mwezi wa sita makutupora wakafanya jkt muda mfupi wenye degree wakaenda TMA Hawa wakaungana wa sayansi wa form six
 
Duuh na wale walioanza course tarehe 01/05 hapo Msata ni wepi au kulikuwa na course mbili zinaendelea kwa pamoja
 
ni tofauti hao walitangulia walichukuliwa mujibu wa sheria wa mwakajana kwaajili ya millitary science,wapo wachache tuu kama 300+ hivi
 
Oohh kwahiyo kulikuwa na course mbili zinapigwa na wale walioanza mwezi wa tano bado wanaendelea na course si ndio
 
Kwahyo rts kihangaiko kozi imeish nimeona askari wapya wameapa juzi ijumaa......au ndo wale mujibu wa military science
 
Back
Top Bottom