??Nimewasiliana na dogo,mkoani,anasema hizi nafasi za majuzi za PT,hata usaili bado,ni kweli au katemwa?
Mwenye kujua,tafadhari.
Nimepata taarifa kwamba wa form four waende wakaangalie majina kwenye ofisi za makamanda wa mikoa walio ombea.
Aisee ni diploma tu na certificate na wapo Kam mia 2 na something cjui watachukua wangapiHaya vijana wa PT mkeka umetoka leo huo
Na ya Zanzibar yametoka?Haya vijana wa PT mkeka umetoka leo huo
Yes yametokaNa ya Zanzibar yametoka?
Yapo kwenye website yao ama?Yes yametoka
Mm nahisi Zanzibar Bado Kwan chief umeomba kwa Zanzibar?Yapo kwenye website yao ama?
Hili sijawahi kulisikia ila Hata nikilisikia napo sitashangaa [emoji3][emoji3]NAomba nichombeze kidogo kaka ..kuna wengine hata kozi hawaendi..mojakwa moja wanazama kazini
Tunaulizia tu chiefMm nahisi Zanzibar Bado Kwan chief umeomba kwa Zanzibar?
Mimi nilishangaa jamaa mmoja kasomea ualimu wa masomo ya Sanaa yani Arts ila ni Mkaguzi kwenye taasisi kubwa ya Utafiti nchini...Hili sijawahi kulisikia ila Hata nikilisikia napo sitashangaa [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha duh apo kweli unaweza ukambiwa hufai mguu wako mmoja mrefu mmoja mfupi ukijiangalia ww mwenyewe unaenda fresh ila ñdio ivo
Kama.Ng'ombe sioNachombeza kidogo Unaweza ukaambiwa ww ukila ukishiba unabehua, kwahyo upo unfit,unawekwa pembeni
Sw chief nilifkr umeomba kwa sabab Zanzibar walihitaj na degreeTunaulizia tu chief
Kwani kule si wanaajiri watu wa kutokea huko tu?Sw chief nilifkr umeomba kwa sabab Zanzibar walihitaj na degree
Mungu atasaidia nasi tutafanikiwa sana ...Kama.Ng'ombe sio