Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Upo upande gan chiefMkiambiwa ukweli mnakasirika.
Team maelekezo au Team kujarbu bahati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo upande gan chiefMkiambiwa ukweli mnakasirika.
Wapi JKT au Kwenye Kitenge?Sasa hivi mazoezi siyo magumu ila kupata ile nafasi ndy changamoto.
Sipo popote mkuu ila najaribu kugusia ukienda kule uwe na maelekezo au bahatiUpo upande gan chief
Team maelekezo au Team kujarbu bahati
KitengeWapi JKT au Kwenye Kitenge?
Dah,, labda kama hujafuatilia mkuu,, intake ya mwaka jana watu wamepigwa tifu huko sio poa, bakora zimetembea sio kawaida,, watu wamebeba mistimu , watu wamebeba dunia mpaka basi.Kitenge
Jkt bila maelekezo ni pagumu kwa kweliSipo popote mkuu ila najaribu kugusia ukienda kule uwe na maelekezo au bahati
Kuna jamaa mmoja nahisi huwa ni moja ya wazee wa kazi ..anakuambia majeshi yote yana ugumu wa scale yake ya mazoezi ila Scale ya Wazee wa kazi anakuambia sio powaaa ni noumaaaa.Dah,, labda kama hujafuatilia mkuu,, intake ya mwaka jana watu wamepigwa tifu huko sio poa, bakora zimetembea sio kawaida,, watu wamebeba mistimu , watu wamebeba dunia mpaka basi.
Kesi za kuteguka miguu wakati wa kozi za TPDF unaambiwa ni kawaida sana. Makoplo wa RTS unaambiwa wanaroho mbaya shetani akasome.Kuna jamaa mmoja nahisi huwa ni moja ya wazee wa kazi ..anakuambia majeshi yote yana ugumu wa scale yake ya mazoezi ila Scale ya Wazee wa kazi anakuambia sio powaaa ni noumaaaa.
huyu jamaa yupo?Kunguru wa Manzese
Njoo usalimie watu aise.
acha kudanganya watu mkuuUsikariri kipindi kile mambo yalikuwa magumu but now days ukiwa na vigezo vya ajira unapata bila ufund wowote
MNATUSHTUA WADAUAny update
Tunajiandaa kuanza kambiAny update
Mkuu ,Nakuomba kuja Pm yko tuyajenge kwanzaTunajiandaa kuanza kambi
Watu wamesuburi mpaka wamechoka.uzi umepoa sana watu wapo kimya
Kiufupi wamekata tamaa hakuna matumaini walaronja yoyoteWatu wamesuburi mpaka wamechoka.
Wamesikia kila aina ya lonja mpaka wamechoka.
Mbaya zaidi hamna kitu chochote kinachoendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri mwakaniWatu wamesuburi mpaka wamechoka.
Wamesikia kila aina ya lonja mpaka wamechoka.
Mbaya zaidi hamna kitu chochote kinachoendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app