Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nimepigwa ndoige
Pole sana
Police ni maisha ya utumwa kuuza roho just for 500k

Huna amani
Unatengwa na jamii
Roho mkononi
Unawindwa na kila adui
Dhambi na unyanyasaji na uonevu kwa wengine

Kifupi mapolisi wengi maisha Yao ya kisenge sana rushwa kama Nini..


Sina kazi ila bodaboda anaejielewa anaishi maisha mazuri kuliko polisi
 
Aiseeeeh


Haya sio maneno kwa Watafutaji Champ!
 
Aiseeeeh


Haya sio maneno kwa Watafutaji Champ!
Ukiwa na maaana Gani???

Polisi ni kazi kwa watu ambao akili zao zipo stagnant!!


Hawaitaki level kubwa ya maisha wanaitaji kuwa middle class!!

Kulala
Kula
Usafiri

Ila kwasisi ambao tu dream Big sualaa la kuajiliwa tu ni changamoto!!!
Mwaka huu nilienda Kufanya field ofisi Fulani nikaamini kuajiliwa ni utumwa yaani Toka ahsubui mpaka jioni umekaa tu na mshahara mwisho wa MWezi..

Mishe kitaaa haziendiii
Kuajiliwa ni utumwa mshahara maana yake ni pesa ya kujikimu ili uendeleee kwenda kazini
 
Kwa muktadha huu unazungumzia karibia 80% ya waajiriwa wote both GVT na NGVT sectors!! Na huu ndio uhalisia Mkuu
 
jamaa kaandika kwa hasira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kwa upande wa degree kuna mwamba kasema polisi degree Wanaenjoy mshahara mnono wanafika one million ukikusanya stahiki zao niweken sawa
 
Vipi kwa upande wa degree kuna mwamba kasema polisi degree Wanaenjoy mshahara mnono wanafika one million ukikusanya stahiki zao niweken sawa
Degree kwa wahasibu,sheria na kada nyinginezo za 'social science' nasikia wanakunja Basic ya 860K.

IT,nurses na Clinical officer wanakunja 920K hivi halafu Medical Doctor ni 1.5M.

Hapo bado ration na hela ya vinywaji.

mburujr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwana yupo skuli ya jeshi hapa Zanzibar jku ndo anaulizia hivo maan anasem Kam vip abak hapa hapa coz Kwanz atakua mwalim halaf ni askar kwa hio ataweza kukunja Kam lak 9 ivi after makato
Msaidien kwa kumpa ushaur
 
Kuna mwana yupo skuli ya jeshi hapa Zanzibar jku ndo anaulizia hivo maan anasem Kam vip abak hapa hapa coz Kwanz atakua mwalim halaf ni askar kwa hio ataweza kukunja Kam lak 9 ivi after makato
Changanua mwenyewe kupitia mtiririko wa hapa chini.

Basic 860K
Professional Allowance 15% ya Basic.
Ration 300k
Vinywaji 300k kila baada ya miezi 3.

Makato;

PAYE 93K

HESLB ni 15% kama sikosei.

NSSF 43K

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kumbe Maokoto yanaeleweka kiasi chake.

Vipi kuhusu kada kama za Engineers? I.e Civil Engineers au police hawachukuagi wahandisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…