Duhh hatare maan mpk anapat stress ndio unalipwa ktk Malindo lkn anasem ni kuchoka sana na mapumziko hamna week hii yupo lindo Usku wiki nyingine mchana hii Kaz kumbe kwa baadhi ya watu ni stress tupu aiseeMwambie afanye 'namna' kwa wakubwa.
Kuna mwanangu alikua wilayani,alikua busy na malindo ya bank, Mahakamani na escort,japokua wanalipwa ila mwishowe akachoka maana hata muda wa kugegeda ikawa ishu.
Huku na huku 'akapiganisha' akapata order ya kwenda Kikosi cha mbwa na farasi.
Anasema kitengo cha mbwa na farasi ni bata kwenda mbele,,Kila siku ni weekend.
Sent using Jamii Forums mobile app