Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Soma tangazo la Jeshi Husika waliotoa Ajira....Angalia anuani utaona Kila kitu kinajieleza kwenye Matangazo
 
Rejea huko juu kidogo kuna barua za mifano zimetumwa
 
[emoji116]
 
Rejea huko juu kidogo kuna barua za mifano zimetumwa
Barua ishaandikwa tatzo ni anuani tu sijajua s.l.p yake ndo maan naomba kwa anaejua anuani ya mkuu wa magereza kwa wilaya ya temeke
 
Barua ishaandikwa tatzo ni anuani tu sijajua s.l.p yake ndo maan naomba kwa anaejua anuani ya mkuu wa magereza kwa wilaya ya temeke
Soma tangazo nzima la Jeshi la Magereza.Kila kitu Kipo kiongozi
 
Soma tangazo la Jeshi Husika waliotoa Ajira....Angalia anuani utaona Kila kitu kinajieleza kwenye Matangazo
Nmesoma vzr tu kwa wenye fani ndo wameandikiwa anuani ambayo ni
mkuu wa magereza
Barbara ya msalato
S.l.p 1176

Ila iyo nayoandika ni ya mwenye chet cha form4
 
Nmesoma vzr tu kwa wenye fani ndo wameandikiwa anuani ambayo ni
mkuu wa magereza
Barbara ya msalato
S.l.p 1176

Ila iyo nayoandika ni ya mwenye chet cha form4

Nikweli anuani za wakuu wa magereza ya wilaya husika hazijawekwa....labda tu kwa ushauri kama ukishindwa kupata msaada hapa jaribu kwenda ofice zao ukawaulize then uandike
 
Nmesoma vzr tu kwa wenye fani ndo wameandikiwa anuani ambayo ni
mkuu wa magereza
Barbara ya msalato
S.l.p 1176

Ila iyo nayoandika ni ya mwenye chet cha form4
Tafuta Tangazo lenye kurasa 17 ndio Lina Kila kitu
 
Wakuu tofauti ya fani na taaluma ni nini?
Maana uhamiaji wamesema fani sio taaluma,
Naomba kujuzwa hapo.
 
Polisi wanasubiri nini kutoa majina na usaili tayari wamesha maliza au wanasubiri wale watu wa fani wa tangazo la pili?
Kuwa na subira.

Jana kulikua na mahafali ccp ya wakaguzi wasaidizi wa polisi (2030).

Nadhani wakishatoka wote, intake yenu ndo mtaingia.
 
Naomba mnisaidei mwenye tangazo la jeshi la zima moto wadau.. Ambae mwenye nalo[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…