Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Duhh hatare maan mpk anapat stress ndio unalipwa ktk Malindo lkn anasem ni kuchoka sana na mapumziko hamna week hii yupo lindo Usku wiki nyingine mchana hii Kaz kumbe kwa baadhi ya watu ni stress tupu aisee
 
Sisi wengine ndio tunazikubali hvyo hvyo
 
Jeshi kweli linapiga kazi lakini kaka Pt kwa bongo wanahenyeka sana

Vitisho vya usalama sio vingi sana kwa nchi yetu, Naandika nikiwa nipo mpakani mwa Tz
Na yakupasa ufaham taarifa zote za ulinzi na usalama wa mkoa/ wilaya yako mwenyekiti na mchambuzi mkakati kivita ni nani? Angalia jinsi mboni ya jicho lako linavyolindwa hiyo ndio sycle ya ulinzi! Kama kweli mfatiliaji mzuri utagundua Hali ya usalama ilivyo kwasasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…