Una maana shemeji yako amerudi home kwa mkataba wake kuisha?Hizo za ujenzi Sio za kuzizingatia sana maana hazina ahadi, kuna shemeji yangu wa op samia walikuwepo huko wamejenga na wameondoka.
Ndio ndio .
hakuna updates?Yeah!! Kutokana na lile tangazo lao la Mwezi wa 6 la kuchukua watu kutokea uraiani,,sasa ndio wataitwa kwa ajili ya mafunzo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vijana wa ccp wamemaliza mafunzo??Hao vijana waliomaliza mafunzo hapo CCP leo ni wa jeshi gani hilo?
Najaribu kupandisha picha nashindwa wamevaa combat za kama TFS ila imekoza zaidiKuna vijana wa ccp wamemaliza mafunzo??
TAKUKURU haoNajaribu kupandisha picha nashindwa wamevaa combat za kama TFS ila imekoza zaidi
Huwa ni uniform za takukuru izoNajaribu kupandisha picha nashindwa wamevaa combat za kama TFS ila imekoza zaidi
wakiwa job huwa wanatiinga hizo uniform ?TAKUKURU hao
Sjajua mkuu maana Hawa ni wazee wa Siri Siri sanawakiwa job huwa wanatiinga hizo uniform ?
Okay sasa nimepata jibu la Swali langu, kwahiyo kumbe course ya RTS sasa rasmi ni miezi sita, na siyo minne tenaTarehe 28 mwez wa kumi vijana wa JWTZ msata wanaapa hivyo tuendelee kuwa na subira
Sahihi kabisa ni 6 monthOkay sasa nimepata jibu la Swali langu, kwahiyo kumbe course ya RTS sasa rasmi ni miezi sita, na siyo minne tena
Hivi hawa si walikuwaga wanapiga course kule CU Kimbiji, au sasa ndio wamehamia rasmi CCP, maana hata intake ya Mwaka Jana nilisikia walipiga course CCP huko hukoTAKUKURU hao
Saivi ni CCP Course miez mi 5 tuHivi hawa si walikuwaga wanapiga course kule CU Kimbiji, au sasa ndio wamehamia rasmi CCP, maana hata intake ya Mwaka Jana nilisikia walipiga course CCP huko huko
Duuh naona muda nao umeongezwa ilikuwa ni miezi mitatuSaivi ni CCP Course miez mi 5 tu
Pata kazi kwanza mengne baadayeUhamiaj na takukuru wapi wanalipwa ela nying ?
Takukuru wako juu, hao nasikia Wana hadi risk allowanceUhamiaj na takukuru wapi wanalipwa ela nying ?
Mbona ndio taasisi ambayo watu wanaongoza kwa kuhama mpaka serikali ikaweka restrictions ya miaka 5 kwenye taasisi yao.Takukuru wako juu, hao nasikia Wana hadi risk allowance