Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ebu naomben kujua nikitoka fom sx, ama chuo kwa ngazi ya shahada..... Na kujiunga na jeshi la police baada ya kufuzu mafunzo ya kijeshi nitakuwa afisa wa jeshi ? Anaejua pulizii!!!!
Toka kwanza chuo mkuu, kishapata kwanza uconstable ndipo tutakujibu.
 
KIpindi cha nyuma walikua wanafanya vetting ..yani wao ndio wanakutafta
Walikua wanawatafuta watu mashuleni sekondari,vyuoni,sehemu za ibada ,makazini na sehemu mbalimbali
ila siku hizi mambo yamebadilika....
Sasa hivi mambo yapoje mkuu, hawachukui tena vyuoni wala shuleni?
 
Naomba kuuliza kama mtu anavigezo vya kuomba ajira za polisi kwa cheti cha form six na chuo alfu akaomba kote makao na mkoani inakuwaje???
 
Ebu naomben kujua nikitoka fom sx, ama chuo kwa ngazi ya shahada..... Na kujiunga na jeshi la police baada ya kufuzu mafunzo ya kijeshi nitakuwa afisa wa jeshi ? Anaejua pulizii!!!!
Lazima kwanza uanze na uconstable aka shati tupu, utatumikia hicho cheo kwa miaka kadhaa then ndio wakubwa wataamua, kama utaenda kuwa ofisa au utaishia kuwa nco tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…