Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wakuu hivi posho za haya majeshi ambayo yapo chini ya wizara ya mambo ya ndani naimani zipo sawa naomba mtu atufafanulie kidogo vijana

Nilisikia kuna posho ya kila mwezi,kuna hela ya vinywaji sijui

Naomba ufafanuzi zaidi.
 
Ration laki 3 Kila mwezi, vinywaji laki laki 1 kwa mwezi ila utapewa laki 3 Kila miezi mitatu yani March, june , September na December.
 
Kozi ni mwezi wa kwanza kwel itakua sio kwa kuchelewesha iv majina, ila maafisa simemaliza juzi koz ya nyota
 
Ration laki 3 Kila mwezi, vinywaji laki laki 1 kwa mwezi ila utapewa laki 3 Kila miezi mitatu yani March, june , September na December.

Sorry...sijaelewa ulivotaja miezi hio (march,june,September na December) hio miez mingine vipi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…