Kaplizer
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 720
- 582
Source ya ndaniWe umesikia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Source ya ndaniWe umesikia wapi?
Source ya ndani
Mmmmhh Lonja ya Uhakika ni Choo Cha Kulipia tu humu ndani....Source ya ndani
Huwezi.Ile ni ya ZT,nenda Hospitali watakupa zao.Wakuu hv ile form ya hospital ya fire naweza kuaattach kwenye majesh mengine kama magereza na uhamiaji
Mkuu Choo Cha KulipiaHuwezi.Ile ni ya ZT,nenda Hospitali watakupa zao.
WamefanyajeHaya sasa wazee wa TPDF,
Haya sasa wazee wa TPDF,
Kuwa na subira.Soon.Mkuu Choo Cha Kulipia
Majina ya form four na form six yanatoka lin
HapanaWakuu hv ile form ya hospital ya fire naweza kuaattach kwenye majesh mengine kama magereza na uhamiaji
Aise jeshi la polisi ni kwel lina wasomi wengi sana mzee so ni halali wa recruit watu wa Ku replace izo nafas ziliachwa na hao waliokua maafisaKati yao mmoja alikua na PhD, wachache post graduate diploma, wachache masters.. Karibia 1700+ ni degree, diploma etc
Ration laki 3 Kila mwezi, vinywaji laki laki 1 kwa mwezi ila utapewa laki 3 Kila miezi mitatu yani March, june , September na December.Wakuu hivi posho za haya majeshi ambayo yapo chini ya wizara ya mambo ya ndani naimani zipo sawa naomba mtu atufafanulie kidogo vijana
Nilisikia kuna posho ya kila mwezi,kuna hela ya vinywaji sijui
Naomba ufafanuzi zaidi.
Ration laki 3 Kila mwezi, vinywaji laki laki 1 kwa mwezi ila utapewa laki 3 Kila miezi mitatu yani March, june , September na December.
Kila baada yamiez mitatu.Sorry...sijaelewa ulivotaja miezi hio (march,june,September na December) hio miez mingine vipi...
Wameapa na jana walikuwepo wakuupale wanamalizia nn sijuiKozi ni mwezi wa kwanza kwel itakua sio kwa kuchelewesha iv majina, ila maafisa simemaliza juzi koz ya nyota
Hili swali au taarifa mkuuwametoa tangazo lingine
tembelea tovuti yao wametoa tangazo jpya lakini wala alielewekiHili swali au taarifa mkuu
Polisi au jeshi ganitembelea tovuti yao wametoa tangazo jpya lakini wala alieleweki