Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

 
Shukrani mkuu Kwa mrejesho mchakato mrefu sana aseee nikajua baada kumaliza wote waliondoka ....Hawa madogo wame report 1/Dec mwaka jana wao ku funga koz lini??
 
Kuna tangazo nimeona ....wamekuja kuchukua watu wengine tena saf sanaaa
 
Duh kagezo cha JKT kimeondolewa...means raia tutakuwa shazi wale walikuwaga wanaconnection nzito ila kigezo cha jkt wakawa wanamiss saiv na wao wamo....
 
Polisi hawapoi kweli wale wenzao wa upande wa pili sijui kipi kinawafanya wasichukue watu.
 
Vijana fursa hizo japo site yao ni changamoto kidogo kwenye kufunguka
 
Polisi hawapoi kweli wale wenzao wa upande wa pili sijui kipi kinawafanya wasichukue watu.
Polisi Ndo Wasimamizi Wa Sheria Na Ndo Jeshi Linalosimamia Usalama Wa Raia Na Mali Zao... Depo Iliyotoka Mwezi Wa 3 Pamoja Na Depo Iliyopo Mafunzo Kwa Sasa Watasimamia Na Kusaidia Katika Mwendelezo Wa Uchaguzi Wa Wenyeviti Wa Vijiji Pamoja... Ndo Maana Polisi Wanapaswa Kuwa Wengi Zaidi
 
Mzigo mpya huo mkuuu kwenye page yao Instagram wame post ....naona madogo wako kozi sahivi soon wata maliza kunako uzima
Madogo Bado Wanapambana... Depo Ni Mwaka Hope Mwezi Wa 9 Mapema Sana Wataapa Tayari Kwa Majukumu Ya Kitaifa Na Kutumikia Wananchi.
 
Wakuu samahani kila nikitaka kusign in nikiandika email naambiwa *this email was already taken" shida itakuwa nn maana nmetengeneza email nyingine lakin bqdo inasema ivyoivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…