Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kikubwa tuombe Mungu atupitishe Kwenye Ili huku tukipambana nalo
 
hiyo ni biashara mkuu ,mkifika kule kuna hela ile ya vipimo huwa ni 10k sasa kwa mfano watakaofanya usahili ni watu 30000 chukua 10k × 30k ya watu =300,000,000/= yaani jeshi la polisi litakuwa limeingiza kupitia tuu huu usahili

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hlf cha ajabu hawatoi electronic receipts
 
Hivi Hawa jw wataenda makambini mwezi wa ngapi
Ngoja waje wajuzi wa mambo mkuu...ila nahis mwez wa 9 maan hii ni jazia nyama kuna watu walioishafanyiwa usahili vikosini awali kwahiyo waliotuma maombi wataangalia wenye sifa/vigezo watajumuishwa kufikia lengo lao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…