Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyewahi ku attend ya Udereva Tanapa please naomba utupe ABCsJamani msaada wa maswali yaulizwayo TANAPA kada ya conservation ranger III - Accoun
hiyo ni biashara mkuu ,mkifika kule kuna hela ile ya vipimo huwa ni 10k sasa kwa mfano watakaofanya usahili ni watu 30000 chukua 10k × 30k ya watu =300,000,000/= yaani jeshi la polisi litakuwa limeingiza kupitia tuu huu usahiliJumla ya majina ya walioitwa kwenye usahili wa Jeshi la Polisi ni 33,998. yaan 40,000 kasoro mtu mbili.
Tanzania ni watu 31,930
Zanzibar ni watu 2,068
alooo shuhuri ni pevu sasa sijui bogi linataka Askari wa ngap hapo usikute panga likapita na zaid ya watu buku thelasin 30...
Dj gonga midundo kuchangamke[emoji1]
Mkuu vp ronja za kitenge wanasemaje huko??hiyo ni biashara mkuu ,mkifika kule kuna hela ile ya vipimo huwa ni 10k sasa kwa mfano watakaofanya usahili ni watu 30000 chukua 10k × 30k ya watu =300,000,000/= yaani jeshi la polisi litakuwa limeingiza kupitia tuu huu usahili
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Hlf cha ajabu hawatoi electronic receiptshiyo ni biashara mkuu ,mkifika kule kuna hela ile ya vipimo huwa ni 10k sasa kwa mfano watakaofanya usahili ni watu 30000 chukua 10k × 30k ya watu =300,000,000/= yaani jeshi la polisi litakuwa limeingiza kupitia tuu huu usahili
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
hiyo ni biashara mkuu ,mkifika kule kuna hela ile ya vipimo huwa ni 10k sasa kwa mfano watakaofanya usahili ni watu 30000 chukua 10k × 30k ya watu =300,000,000/= yaani jeshi la polisi litakuwa limeingiza kupitia tuu huu usahili
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Panga kivipi mkuuNaskia huko Dodoma kwenye usahili watu washakula panga😥
Watu wametewa naskia cjui uref na ma bio so sad kwakweliPanga kivipi mkuu
Mkuu hatarrrr na nusu an ni full panguso....Watu wametewa naskia cjui uref na ma bio so sad kwakweli
Kweli mkuu bila mbanga ni ngumu tena ngumu mnoooo....Kweli hizi mambo ni ngumu kutoboa mpk mbanga
Ngoja waje wajuzi wa mambo mkuu...ila nahis mwez wa 9 maan hii ni jazia nyama kuna watu walioishafanyiwa usahili vikosini awali kwahiyo waliotuma maombi wataangalia wenye sifa/vigezo watajumuishwa kufikia lengo lao...Hivi Hawa jw wataenda makambini mwezi wa ngapi
Ila itafahamika tuNgoja waje wajuzi wa mambo mkuu...ila nahis mwez wa 9 maan hii ni jazia nyama kuna watu walioishafanyiwa usahili vikosini awali kwahiyo waliotuma maombi wataangalia wenye sifa/vigezo watajumuishwa kufikia lengo lao...