bravocharlie
JF-Expert Member
- Feb 1, 2020
- 861
- 857
Na hilo ndio neno la Bwana.Hakika Sema kwenye Maisha yako usiwaze Ukubwa.Ukubwa unakuja tu wenyewe na Mungu ndiye Hufanya yote hakika
Huyu Jamaa huyu hahahahaahaaJ.3 au J.4 kila kitu kitakua tayari[emoji91][emoji91][emoji91]
Get prepared
AmenNa hilo ndio neno la Bwana.
Kila mwenye kupumua aseme Amen.
Kuna nn humu kuwiana radhi tenaKaplizer popote ulipo naomba radhi Mkuu hahahahha
Hahahah Alisema Lonja J3 au J4 nikambishiaa hahahahahah.....Kuna nn humu kuwiana radhi tena
Sasa kuna taaerfa gn rasmi mpk saivHahahah Alisema Lonja J3 au J4 nikambishiaa hahahahahah.....
Hamna taarifa yoyote DrSasa kuna taaerfa gn rasmi mpk saiv
Tupe tupoWazee wa Lonja Mpooo?
Nawasubiri nyie WakubwaaTupe tupo
Kulikoni mzeeAiseee
Ni EMS nenda Ofisi yoyote ile ya posta iliyokaribu Yako utahudumiwa.Kwani Sasa Ni Posta Mpya Na Mambo mapya.Wakuu naomba anayejua utaratbu wa kutuma barua kwa njia ya posta garama zake na zinatumwa wapi kwa hapa dar es salaam.
EMS Posta,Tabata,Namanga bei ni 15,000.Wakuu naomba anayejua utaratbu wa kutuma barua kwa njia ya posta garama zake na zinatumwa wapi kwa hapa dar es salaam.
Wakuu naomba anayejua utaratbu wa kutuma barua kwa njia ya posta garama zake na zinatumwa wapi kwa hapa dar es salaam.
Hamnaa Mzee,si tunasubiri lonjaaa[emoji28][emoji28] vipi boom tayari au ??